HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Niwe muwazi

leo nimefanya Oral serikalini kwa mara ya 1

Kama nikijirate

Confidence [emoji3581]
Apperance [emoji3581]
(japo sijui kama wanaangalia maana walienda direct kwenye maswali)

Maswali
1[emoji3581]
2[emoji3581]
3[emoji3581]
4 [emoji777]

Nimekandwa swali moja

it was interesting na kama sitapata hii itakuwa mara yangu ya mwisho kufanya Interview za utumishi nimezeeka.
 
Pole sana wanaweza kukuhurumia kwa uzee wako 🤣
 
Niwe muwazi

leo nimefanya Oral serikalini kwa mara ya 1

Kama nikijirate

Confidence [emoji3581]
Apperance [emoji3581]
(japo sijui kama wanaangalia maana walienda direct kwenye maswali)

Maswali
1[emoji3581]
2[emoji3581]
3[emoji3581]
4 [emoji777]

Nimekandwa swali moja

it was interesting na kama sitapata hii itakuwa mara yangu ya mwisho kufanya Interview za utumishi nimezeeka.
Weka Wazi hapo ulipohisi kukandwa ulikubali kukaa kmy kabsa au ulifanya Jambo Japo haupo sure na majibu yako?!

Usipende kukata tamaa mapema Kuhisi kwako kufanya vzr akukupi guarantee ya kuwakanda Panelist. Kumbuka kumuomba sn Mwenyezi Mungu akusaidie iwe km ulivyowaza
 
Swali 1 sio ishu mkuu unawez ukakosa swali 1 ukapta 50 na kazi ukapata
Sio ukapata 50, hyo unaweza kupata zaidi ya 50 nakwambia.. maana hayo ma3 kama kajibu vizuri kabisa na naamini kajibu vizuri.. hayo yanamwezesha kupata 50+

Kwenye hizi saili kutokana zinakuwa na wenge sana mule ndani tunachotaka kwanza ni kupata 50. Huku kwenye mikeka Kuna vitu vingi wanachezanavyo sio marks tu..
 
Believe me
Tuombe mungu aisee, nilipanga kuwakanda sana hawa jamaa
 
Niwe muwazi

leo nimefanya Oral serikalini kwa mara ya 1

Kama nikijirate

Confidence [emoji3581]
Apperance [emoji3581]
(japo sijui kama wanaangalia maana walienda direct kwenye maswali)

Maswali
1[emoji3581]
2[emoji3581]
3[emoji3581]
4 [emoji777]

Nimekandwa swali moja

it was interesting na kama sitapata hii itakuwa mara yangu ya mwisho kufanya Interview za utumishi nimezeeka.
Serikalini uzee ni above 35yrs na ndiyo maana hata mikopo ya vijana hutolewa mwisho miaka 35. Kama upo above 35 PSRS wakupe tuu hitaji la moyo wako, sisi wa under 25 tunawezasubiria hata miaka 10 huku tukiwatapeli halmashauri pesa za mikopo ya vijana
 
Sio ukapata 50, hyo unaweza kupata zaidi ya 50 nakwambia.. maana hayo ma3 kama kajibu vizuri kabisa na naamini kajibu vizuri.. hayo yanamwezesha kupata 50+

Kwenye hizi saili kutokana zinakuwa na wenge sana mule ndani tunachotaka kwanza ni kupata 50. Huku kwenye mikeka Kuna vitu vingi wanachezanavyo sio marks tu..

Believe me
Hii inatokea sn nakumbuka Kwenye Written Interview sikujibu Swali Moja. Na nikajitoa kwenye Lists ya tunaoweza kuwakanda PSRS hata matokeo Sikuyawaza sn. Lkn Mungu akatenda Miujiza same scenario kwenye ORAL ss sijui kitatokea nini Swali la kwanza niliulizwa sikuweza kuelewa linataka nini niliomba warudie kusoma mpk mara 3 😅😅 arafu nikajikuta najibu bila Kujua najibu kitu gani sema nasubiri Miracles tu hapa
 
Back
Top Bottom