HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kama ukatili wa utumishi wanaulizwa placements lini wanajibu soon we jiandae tu😂😂😂jiandae na nini utamalizia wewe😂
Maneno ya Hovyo sn ujiande kuwa Umewakanda au Wamekukanda we unameambiwa Jiandae

Either Una Selected for au Not Selected for We unaambiwa Jipange tu
 
😂😂😂😂😂jibu la hovyo kwel sema acha tujiandae
Si tunashida Na Ajira lzm tuwe wapole hata tukipewa majibu tusiotarajia tunajifanya wavumilivu na kuwa wanyenyekevu lkn Moyo hatujaridhika na hayo majibu ya Soon kwani kusema Jumanne kuna shida gani
 
bwana smurof unafaa sana ku mcomfort mgonjwa aisee nimependa style yako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha you have to be positive always hata kama kitu huna imani nacho we amini kinawezekana. Sometimes mdomo huumba sasa ukijiwekea negativity mda wote unajiumbia nuksi mwenyewe. Inabidi umpe mtu matumaini ili awe na faraja pia. 😁
 
soon yao ni kuitwa mwezi huu, mnaingia mwezi wa 3 training mpaka wa 6 then mnapangiwa vituo kureport mwezi wa saba mshaingizwa kwenye mwaka mpya wa fedha. Huu hauwahusu 😅
Sema unaweza kuta labda misingi yao yakazi haiwaruhusu kusema exactly date nilini so ni mwendo wa soon tu
 
Hahaha you have to be positive always hata kama kitu huna imani nacho we amini kinawezekana. Sometimes mdomo huumba sasa ukijiwekea negativity mda wote unajiumbia nuksi mwenyewe. Inabidi umpe mtu matumaini ili awe na faraja pia. [emoji16]
nikweli ngoja tusubiri PDF saa kumi ingia web
 
soon yao ni kuitwa mwezi huu, mnaingia mwezi wa 3 training mpaka wa 6 then mnapangiwa vituo kureport mwezi wa saba mshaingizwa kwenye mwaka mpya wa fedha. Huu hauwahusu [emoji28]
@Godbles3 ,tuambie yakweli hayo [emoji23][emoji23][emoji23] au yatatoka kesho siku ya mapendo
 
Back
Top Bottom