HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kuna watu walishakuwa na selected for null, kama nyie, na bado wali lia😥😥😥🤣🤣🤣🤣🤣

Mimi mmoja wapo mkuu, tena mbili. Ndio maana sahivi nachungulia tu Sina hamu kabisa.
 
Ilikuwa ni Tarahe 09 April 2022 siku ambayo vijana wengi walifurahia mafanikio Yao ya elimu kwa kupata Ajira Serikalin tena kwenye Taasisi Nyeti kama hii..
Naamini siku chache kutoka Sasa vijn watafurahi kwa mara nyingine tena kupitia pdf nyingi kwa taasisi Mbalimbali
mbna kada za afya walibana sana
 
Mimi mmoja wapo mkuu, tena mbili. Ndio maana sahivi nachungulia tu Sina hamu kabisa.
Nilikua natamani wengi walijue hili wenye """selected for null""" ni sahihi kwamba waliopata kazi 99.9% ushuhuda ulionesha kuwa walitoka kwenye ili group la selected for null, wamepata kazi sawa lakini pia wapo wengi zaid wenye selected for null wanakosa kazi.

Kivip

Coz kama mtu alifanikiwa kufanya vizur written, ana % kubwa kufanya vizur oral kama atakuwa na confidence na ukajiandaa. Imani yangu inaniambia kwamba, kwenye post nyingi wote wanafaulu usaili na wanakua na selected for null, imani yangu inaniambia wanaokuwa na not selected for null ni wachache sana, au wanapatikana sana kwenye oral zilizo kazwaa.

Sherekea ""selected for null"" only pale ambapo unajua wenzako karibu wote wana not selected for null, other wise my friend ukazani selected for null ndo tayar upo kazini, unaweza lazwa hospital.
 
Nilikua natamani wengi walijue hili wenye """selected for null""" ni sahihi kwamba waliopata kazi 99.9% ushuhuda ulionesha kuwa walitoka kwenye ili group la selected for null, wampeta kazi sawa lakini pia wapo wengi zaid wenye selected for null wanakosa kazi.

Kivip

Coz kama mtu alaifanikiwa kufanya vizur written, ana % kubwa kufanya vizur oral kama atakuwa na confidence na ukajiandaa. Imani yangu inaniambia kwamba, kwenye post nyingi wote wanafaulu usaili na wanakua na selected for null, imani yangu inaniambia wanaokuwa na not selected for null ni wachache sana, au wanapatikana sana kwenye oral zilizo kazwaa.

Sherekea ""selected for null"" only pale ambapo unajua wenzako karibu wote wana not selected for null, other wise my friend ukazani selected for null ndo tayar upo kazini, unaweza lazwa hospital.
Mi Nina selected for null ya interview nilofanya September pdf ilitoka sikuwemo
 
Nilikua natamani wengi walijue hili wenye """selected for null""" ni sahihi kwamba waliopata kazi 99.9% ushuhuda ulionesha kuwa walitoka kwenye ili group la selected for null, wamepata kazi sawa lakini pia wapo wengi zaid wenye selected for null wanakosa kazi.

Kivip

Coz kama mtu alifanikiwa kufanya vizur written, ana % kubwa kufanya vizur oral kama atakuwa na confidence na ukajiandaa. Imani yangu inaniambia kwamba, kwenye post nyingi wote wanafaulu usaili na wanakua na selected for null, imani yangu inaniambia wanaokuwa na not selected for null ni wachache sana, au wanapatikana sana kwenye oral zilizo kazwaa.

Sherekea ""selected for null"" only pale ambapo unajua wenzako karibu wote wana not selected for null, other wise my friend ukazani selected for null ndo tayar upo kazini, unaweza lazwa hospital.
Wizy Kama wizy
 
Mi Nina selected for null ya interview nilofanya September pdf ilitoka sikuwemo
Yeah ndo point niliokuwa namanisha toka majuzi, tusherekee tukiwa na selected for null, but io ndo kama kazi inaanza, kikubwa ni kumuomba mungu wako sana uwe kwenye wale top waliofaanya vizur
 
Sema kuna hiyo privacy ndani ya sekretariet nimeipenda ni nadra kujua placement flan inatoka lini lqbda wao waamue wenyewe kutangaza itatoka siku flan😂😂halafu wanawavuruga na status zinazobadilika badilika kila wakat😂
 
Hv ule mkeka wa jenista mhagama utakuwa unapostiwa kwenye website au itakua sanka tumere tumere
 
Nilikua natamani wengi walijue hili wenye """selected for null""" ni sahihi kwamba waliopata kazi 99.9% ushuhuda ulionesha kuwa walitoka kwenye ili group la selected for null, wamepata kazi sawa lakini pia wapo wengi zaid wenye selected for null wanakosa kazi.

Kivip

Coz kama mtu alifanikiwa kufanya vizur written, ana % kubwa kufanya vizur oral kama atakuwa na confidence na ukajiandaa. Imani yangu inaniambia kwamba, kwenye post nyingi wote wanafaulu usaili na wanakua na selected for null, imani yangu inaniambia wanaokuwa na not selected for null ni wachache sana, au wanapatikana sana kwenye oral zilizo kazwaa.

Sherekea ""selected for null"" only pale ambapo unajua wenzako karibu wote wana not selected for null, other wise my friend ukazani selected for null ndo tayar upo kazini, unaweza lazwa hospital.
na sisi wenye selected for practical au selectected for oral interview kwenye app. ndo tumeshakandwa
 
Kila alie report kwamba alipata placement app ilionesha ""selected for null"", nazani unatakiwa kuwa mpole unaweza toka kwenye mkeka/ pdf na selected for practical na ukawa exceptional au first scenario kuwai kutokea, au IT akafanya yake ukarud kuwa selected for null ukapata placement.

Kikubwa tufungue mioyo, tujiandae kupokea results za kila aina.
 
Ilikuwa ni Tarahe 09 April 2022 siku ambayo vijana wengi walifurahia mafanikio Yao ya elimu kwa kupata Ajira Serikalin tena kwenye Taasisi Nyeti kama hii..
Naamini siku chache kutoka Sasa vijn watafurahi kwa mara nyingine tena kupitia pdf nyingi kwa taasisi Mbalimbali
Leo linaweza Tokea lolote.Siku Bado haijaisha
 
Ilikuwa ni Tarahe 09 April 2022 siku ambayo vijana wengi walifurahia mafanikio Yao ya elimu kwa kupata Ajira Serikalin tena kwenye Taasisi Nyeti kama hii..
Naamini siku chache kutoka Sasa vijn watafurahi kwa mara nyingine tena kupitia pdf nyingi kwa taasisi Mbalimbali
PDF sio leo wala kesho Mkuu.
 
Back
Top Bottom