HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Nilikua natamani wengi walijue hili wenye """selected for null""" ni sahihi kwamba waliopata kazi 99.9% ushuhuda ulionesha kuwa walitoka kwenye ili group la selected for null, wamepata kazi sawa lakini pia wapo wengi zaid wenye selected for null wanakosa kazi.

Kivip

Coz kama mtu alifanikiwa kufanya vizur written, ana % kubwa kufanya vizur oral kama atakuwa na confidence na ukajiandaa. Imani yangu inaniambia kwamba, kwenye post nyingi wote wanafaulu usaili na wanakua na selected for null, imani yangu inaniambia wanaokuwa na not selected for null ni wachache sana, au wanapatikana sana kwenye oral zilizo kazwaa.

Sherekea ""selected for null"" only pale ambapo unajua wenzako karibu wote wana not selected for null, other wise my friend ukazani selected for null ndo tayar upo kazini, unaweza lazwa hospital.
Ukiona mtu ana selected for null hajatokea kwenye pdf jua pasina shaka yupo kwenye database ni swala la mda tu
 
ilo halina shaka kama usemavo.

Imagine nafasi nne kama kawaida ya PSRS ratio tuchukue oral 1:3 so mmeitwa 12 oral, wote mmefaulu mna "" selected for null"" placement imetoka walio pass vizur top 4 wamepangiwa kituo nane mliobaki database, kwa mwaka zikapatikana nafasi 3 from data base, inamaana 5 mda wao umeisha na inakua ""booooooooom bye bye""

Nimetoa uo mfano juu kuna watu wanabahatika katika dakika za mwisho from data base wanapata kazi, kulingana na nafasi zako za course yako, kuna baadhi ya course nafasi ni chache sana at ukiwa database haisaidii sana.

Kikubwa tupambane kita sawa na hawa ambao hawajasoma tujichanganye nao, omba private sector ukipata nafasi tengeneza mifereji ya ela, wakat tunasubir io placement au database.

Nasema hivi kwa maana hali ni mbaya sana na kukaa database sio kupata kazi, tunatakiwa kuongeza sala na maombi izo post za database tuwemo, wakat tukiwa tunapambana na plan B.

Ifike stage tukubali kwamba hizi ajira za selikali atuwezi kupata wote. Angalia pdf za wanaoitw interview utanielewa ya written idadi ya post na wanaoenda written.
 
Sawa sawa bwana wizy umenena👌
 
Nilikua natamani wengi walijue hili wenye """selected for null""" ni sahihi kwamba waliopata kazi 99.9% ushuhuda ulionesha kuwa walitoka kwenye ili group la selected for null, wamepata kazi sawa lakini pia wapo wengi zaid wenye selected for null wanakosa kazi.

Kivip

Coz kama mtu alifanikiwa kufanya vizur written, ana % kubwa kufanya vizur oral kama atakuwa na confidence na ukajiandaa. Imani yangu inaniambia kwamba, kwenye post nyingi wote wanafaulu usaili na wanakua na selected for null, imani yangu inaniambia wanaokuwa na not selected for null ni wachache sana, au wanapatikana sana kwenye oral zilizo kazwaa.

Sherekea ""selected for null"" only pale ambapo unajua wenzako karibu wote wana not selected for null, other wise my friend ukazani selected for null ndo tayar upo kazini, unaweza lazwa hospital.
Mi Nina selected for null ya interview nilofanya September pdf ilitoka sikuwemo

Na mwenye macho apate kuona. Wadau inapata waelewe na wasijipe matumaini makubwa na pia cha muhimu zaidi wawe tayari kupokea matokeo katika hali yyte Ile.

Wengi wanajipa uhakika humu sababu ya hizo stutus, ikiwa tofauti na matarajio yao maumivu huwa ni makubwa mno na hata kupelekea tatizo ktk afya ya akili.
 
Pdf ni siku yoyote Ile kuanzia j3 mpk

Kinachonifurahisha humu ni vijana kubisha huku wakiwa si wafuatiliaji wa mambo, hayo anayoyasema mchangiaji hapo juu yamesemwa na Mama leo Dodoma akiongea na viongozi wa vyuo.
Nilicho gundua umu watu wengi wanaamu kubisha vtu ambavyo hawavujui ila wanaamau kubisha tu ilimrad tu
 
Back
Top Bottom