HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
unapotoa info wekeni na source wazee,hicho mnachokisema tuki sachi youtube inakuja habari ya mama samia kupandisha boom, so kipi kinawazuia ku share link hapa??
 
Kwahyo unanifokea mkuu...!! Huku YouTube wanaangalia bila bando..?
Nenda katafute you have internet right? Pia kwanini huwa unapenda watu wa prove things before you all the time? Youtube is there go search.
 
Kinachonifurahisha humu ni vijana kubisha huku wakiwa si wafuatiliaji wa mambo, hayo anayoyasema mchangiaji hapo juu yamesemwa na Mama leo Dodoma akiongea na viongozi wa serikali za wanafunzi.

Msomi mzuri ni yule ambaye akisikia habari anaanza kuitafiti.

Humu pasikuumize kichwa mtu anakwambia anataka picha ndo aamini au link, i wonder bundle lake sijui anatumia kufanyia nn.. habari umpe bado akuombe link sijui picha mwisho atakwambia nsomee
 
unapotoa info wekeni na source wazee,hicho mnachokisema tuki sachi youtube inakuja habari ya mama samia kupandisha boom, so kipi kinawazuia ku share link hapa??

Kiongozi una smartphone sio kitochii
Kama humu unaweza kuingia kupata habari kwann usifanye hivyo hivyo kutafuta habari uliyopewa?[emoji1742]
 
jenista alivosemea ishu za database watu kibao walikuja na post ile umu ndani kama evidence so siooni sababu ya kuendelea kujikanyaga tu,kwani link bei gani wazee kui share? hio info youtube haipo. na hotuba ya maza inamasaa 2 youtube so nisikize neno kwaneno masaa mawili ama
 
Naaam sako kwa bako poti, kama unataka kuprove basi siamba zisiwe nyingi unashona unatulia, maana na aliyetoa hiyo taarifa means alisikiliza hotuba na pale ipo live hawezi kukuambia angalia kuanzia dakika fulani. Wazii
 
jenista alivosemea ishu za database watu kibao walikuja na post ile umu ndani kama evidence so siooni sababu ya kuendelea kujikanyaga tu,kwani link bei gani wazee kui share? hio info youtube haipo. na hotuba ya maza inamasaa 2 youtube so nisikize neno kwaneno masaa mawili ama
jenista alivosemea ishu za database watu kibao walikuja na post ile umu ndani kama evidence so siooni sababu ya kuendelea kujikanyaga tu,kwani link bei gani wazee kui share? hio info youtube haipo. na hotuba ya maza inamasaa 2 youtube so nisikize neno kwaneno masaa mawili ama
Sio kila kitu mbaka uletewe jiongeze masta acha uvivu
 
Nijiongezee nini wewe Jooh.. YouTube nikaangalie hotuba ya masaa 3 wakati nagain nini kikubwa..?
Kuna viclips vidogo vya dakika 2 au Tatu vinavyoenda mojakwamoja kwenye point hvyo ndio tunataka.
Kama hamna basi kausheni.
Chukua uvitengeneze wewe maana mpaka sasa hivyo havijaonekana ila kwenye hayo "masaa 3" ndo kuna mzigo humo.
 
Watu wa umu bhna utasikia tuma picha mara screenshot mara link tu prove uprove nini wakat mwenzako kafanya research kafatilia ni ww sasa kujiongeza kuona alichosema ni kwel au la kwa kuingia chmbo kuja na majibu sahihi lakin sio kubisha bisha tu
 
Back
Top Bottom