HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Una uhakika uyo mwanao alifika oral mkuu, usije ikawa alifeli written
Hao ICT officers wana maana yao....app inakuonesha kabisa kuwa haukuchaguliwa kwenda oral...inaandika NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW.

Ukienda Oral kuna watu wameandikuwa NOT SELECTED FOR NULL ya rangi nyekundu. Hizi mambo lazima zina maana, sasa kama umefanya oral kwanini uandikiwe NOT SELECTED FOR NULL? It must have a meaning..sema tunaamua kuachana nazo na kujipa matumaini.
 
Dah,
Ni balaa tupu aisee
 

Attachments

  • Screenshot_20230209-124803.jpg
    Screenshot_20230209-124803.jpg
    18.7 KB · Views: 35
Akikosa basi ameenda data bese wote waliopata ilikuwaga hivyo wenye red labda utuletee aliyepata mkuu ushuhuda wake
Unajua najaribu kufikiria tu sina Ushuhuda Kwa namna Moja ama nyingne nauliza tu maana Mi naona hivyo hivyo. Ss unapojibu Kwa kujiamini unanitisha wkt nimekubal kuisubiri PDF ndy Nije na Ushuhuda
 
Back
Top Bottom