MrJobless
JF-Expert Member
- Jan 20, 2023
- 1,102
- 1,362
Selected for nullStutus yako inasemaje mkuu
Selected for nullStutus yako inasemaje mkuu
Status inasomekaje ukoAisee mtaalamu uko jikoni au
Mkuu wewe ushaula, hiyo ni green-light ya asali, wewe andaa plan ya wapi utaweka irrigation scheme, kwa kutumia either drip or sprinkler e.t.c.Hii ni kwenye app.....ilianza SELECTED FOR Oral Interview....ikaja FOR Practical.....ikasettle FOR Null......Ikumbukwe kwenye Web imestuck kwenye SELECTED FOR Oral muda wote
View attachment 2512522
Mimi nawachanaga live subiri pdf mzee umefauluSelected for null
Ikitoka na Mi nikajiona nitatoa Ushuhuda wa Jinsi Mambo yalivyo kuwa?! Uwenda ikawapa Moyo watu wengineMimi nawachanaga live subiri pdf mzee umefaulu
Mi naona bado inasoma SELECTED FOR oral interview
Mkuu tupia macho placementIkitoka na Mi nikajiona nitatoa Ushuhuda wa Jinsi Mambo yalivyo kuwa?! Uwenda ikawapa Moyo watu wengine
Kama mimiMi naona bado inasoma SELECTED FOR oral interview
Siyo kweli. Ni jumanne jioni au usikuIjumaa ni siku ya PDF la mb kadhaa lenye taasisi mbali mbali na hutoka baada ya lunch na kabla jua halijazama
[emoji16]
Nishasema nitasubiria Hongera au Simu maana nimefanya na watu niliosoma nao baadhi na tuna mawasiliano mazuri wakiyaona Majina Yao wananitafuta na Mi mwanao?! PDF nitaidownload lkn sitoiangalia mpk nisikie Hongera nje na hapo nitaitazama baada ya Siku 3 toka itokeMkuu tupia macho placement
Aisee apo mtaalamu tuwe wapole tu
FactKiupande wangu labda tu niseme tu kuwa hao wanaosema hvyo Huwa wanajifariji tu ili kukabiliana na Uhalisia, Ila hivi vitu lazima viwe na maana kabisa,, ndo maana ukifaulu written lazima utakuta mambo yamechange pia kwenye account, So vitu vinategemeana hivi
Kweli tuzidishe dua mashemeji washaanza kutuchoka mjini na vizinga visivyoisha.Aisee apo mtaalamu tuwe wapole tu
Jua linawaka hadi mifukoni aiseeKweli tuzidishe dua mashemeji washaanza kutuchoka mjini na vizinga visivyoisha.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Tujifunze english kidogo[emoji1787]View attachment 2512546
Hahaha mwanangu umeanua kuuliza swali la kipumbavu sna...kama angeishia oral ingeandika NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEWUna uhakika uyo mwanao alifika oral mkuu, usije ikawa alifeli written
Hahah inabidi utumishi wawe wanaandaa kwanza semina kama wanavyofanyaga kabla hujapewa majibu ya ukimwi aseeKwa hali ilivyo kwa jobless wengi wanaosubiri placements. Inabidi team ya uokoaji na msalaba mwekundu wakae karibu na vijana wanaweza kujitundika wakitoswa kwenye mkeka wa psrs