HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Leo kuna PDF itatoka mida ya Saa 9 Mchana.
Mwezi wa 4 trh 9 ilikuwa Jumamosi na Siku hiyo kulikuwa na Mechi ya Arsenal.

Leo Mwezi wa 2 sio trh 9 lkn ni karibu na Trh 9 nayopia ni Jumamosi na Leo Pia Arsenal anacheza.
Ikitoka PDF ya TRA na Taasisi nyingne lakini Mkeka ulikuwa Mrefu sn.


Watu wa TRA Hakikisha Status imesoma Selected for Practical [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mtaleta Ushuhuda Jioni ya Leo
TRA Ina kada nyingi, kada Gani hyo inasoma status selected for practical?
 
TRA Ina kada nyingi, kada Gani hyo inasoma status selected for practical?
Binafsi nikutoe Shaka kuhusu status lkn Kwa Maelezo ya wadau wengi wanasema km Kada yako haikuwa na Practical wengi wao wameona Selected for Practical.
Na ambao Kada zao zilikuwa na Practical wengi wao wameona Selected for Oral. Kwa Maelezo zaidi subir PDF
 
Ilikuwa ni Tarahe 09 April 2022 siku ambayo vijana wengi walifurahia mafanikio Yao ya elimu kwa kupata Ajira Serikalin tena kwenye Taasisi Nyeti kama hii..
Naamini siku chache kutoka Sasa vijn watafurahi kwa mara nyingine tena kupitia pdf nyingi kwa taasisi Mbalimbali
 

Attachments

Huu woga alikuwanao unaweza kumpelekea kufeli sio kwamba nataka hivi Ila atulie bhana Kichwa kitulie.. Usaili wa Oral PSRS mtu anafanya dakika 5 akaondoka, anacomplicate nn .
yesamrich soma/jiandae kimyakimya sio mpaka members wote wa JF tujue kuwa una Usaili...!!

Wewe ukimaliza hyo interview basi Huku kwenye issue ya Status ndo utakuwa na wenge balaaaaaah😁
Jamani amesema ni usaili wake wa kwanza, kwahyo mwacheni yesamrich aulize pale anapohisi Pana dukuduku.
 
Back
Top Bottom