HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hujanielewa boss.

Yani cv yangu ina gaps kubwa from one job to another,so nachotaka nichange dates na pia niondoe some companies from the cv mana hazina umuhimu,nataka niweke like tatu tu basi.
Ahaa okay sawa, sidhani kama inaathari kwa hatua unayoiendea sasahv. Wewe jiandae tuu na uendele na usaili wa mahojiano. Nakutakia kila la kheri
 
to be more comfortable vaa skert yako nzur ndefu prefer black one,blauzi nzur isiwe transparent, achana na suruali hizi utazivaa ukipata kazi,
Yan sina sket ndefu hata "moya",halafu mda sasa wa kutafta sket yan ndo shida. Wish i knew earlier,but wadau wamesema suruali sio mbaya mrad isibane
 
Back
Top Bottom