HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Eye contact ni muhimu sana bila kusahau tabasamu, sema usi fake tabasamu na usitabasamuu saaana, na pia gesture ni muhimu.
Ni kweli mkuu,ila cha kushangaza kuna mtu humu anadanganya wenzie eti hivyo vitu sio muhimu, kwake muhimu ni kujibu maswali vizuri tu.
Huu uzi nadhani ni wa kuwasaidia watu kufanikiwa,sio kudanganyana.
 
Kuna vitu vingi sana, kuanzia unapoingia,unavyokaa/Ukaaji wako,smile,eye contact, fidgeting ambalo ni kosa so many small technical issues
 
Ooh sio mbaya,asante mkuu
Fanyia kazi unayoambiwa, ur so luck myfriend kupata izi hint 1 & 2, wakat wa oral yangu nilikua sijui atakama uu uzi una exist kimsingi nilijiandaa na wht is ur weakness,strength, after five yrs whr do u see urself and nilikua sijui ata kuna maswali mangapi, ila nilichokutana nacho humo ndani sio pouwa ila nilipambana, kuna differnce kiasi kati oral za psrs na private. Imani yangu ni kuwa ukiwa na confidence basi vingine vyote vita fall in line, jiamini na ujiandae, mungu yu pamoja nawe.
 
Kuna vitu vingi sana, kuanzia unapoingia,unavyokaa/Ukaaji wako,smile,eye contact, fidgeting ambalo ni kosa so many small technical issues
Sure mkuu,kuna watu huwa hawako serious kabisa,kuna mtu siku hiyo kaitwa aingie kwenye chumba cha usaili kaenda huku anatafuna Big G,mpaka yule mzee aliyekua anaita watu akamstua ndio jamaa akaitema.
 
Hvi unapoulizwa tell us about educational background...inakuwajibisha kutaja working experience yako?au utataja tu info concerning your education?
 
Nilifanya interview ya hiyo kada 2016.
Maswali ninayoyakumbuka ya oral.
1.Mention 5 procedures za mtu kupata business licence.
2.types of business operations na kuzielezea
3.measures to be implemented in order to make people to pay for their expired business license.
4.responsibilities of Trade officer.
Yalikua 7 hayo mengine nimeyasahau
Mkuu,hapa pia nimekumbuka lingine,waliuliza mention 5 qualities of public servant.
Binafsi nilijibu
1.Respect to the laws of the country
2.Providing services equally to all people regardless of their political affiliation
3.Respect to all leaders
4.Not affiliating to any political party.
5.Intergrity
 
Ubarikiwe sana boss
 
Fanyia kazi unayoambiwa, ur so luck myfriend kupata izi hint 1 & 2, wakat wa oral yangu nilikua sijui atakama uu uzi una exist kimsingi nilijiandaa na wht is ur weakness,strength, after five yrs whr do u see urself and nilikua sijui ata kuna maswali mangapi, ila nilichokutana nacho humo ndani sio pouwa ila nilipambana, kuna differnce kiasi kati oral za psrs na private. Imani yangu ni kuwa ukiwa na confidence basi vingine vyote vita fall in line, jiamini na ujiandae, mungu yu pamoja nawe.
Amen amen mkuu.
 
Back
Top Bottom