yesamrich
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 2,584
- 4,588
Haha sawa boss hizo sitavaa ndomana nmeuliza mapemaaaaa maanaUsivae zile za chuoni ulicho somea zile zinazoonyesha mpaka , chupi !
Haha sawa boss hizo sitavaa ndomana nmeuliza mapemaaaaa maanaUsivae zile za chuoni ulicho somea zile zinazoonyesha mpaka , chupi !
Thank u dear...All the best cwthrt
Sna sket ndef mkuuJi generalise as a woman , vaa sketi ndefu , ya heshima tuu
Asante maandioo
Shukran maaInaruhusiwa
Asante sana boss,hapo natakiwa nivae kiwango cha juu a.k.a smart[emoji23]Huo Hapo....
Anayejua mishahara ya hawa "menejimenti ya utumishi wa umma na utawala Bora" aniambie tafadhali
[emoji2956][emoji2956]Kuna pdf moja nzito sana inasubiriwa kwa hamu jiandaeni kisaikolojia
Hapo ni kujichagulia tu,japo najua wadada kwenye mambo ya mavazi Mpo vizuri sana...Asante sana boss,hapo natakiwa nivae kiwango cha juu a.k.a smart[emoji23]
Hivi ni lazima nichomekee???
Wakuuu... kuna tofauti gani kati ya selected for NULL... Na Selected for Oral Interview?
Mishahara huwa ni Siri.Japo ukibahatika kupata mtumishi halisi wa Idara hiyo anaweza kukueleza kwa usahihi...Anayejua mishahara ya hawa "menejimenti ya utumishi wa umma na utawala Bora" aniambie tafadhali
Hilo ni la kweli kabisa, urasimu utakuwa mkubwa sanaHatukatai michakato kuendeshwa haraka ila mianya inayoweza kuchipuka ndio itakuwa kikwazo kwa baadhi yetu.
PSRS wako fair kwa asilimia kubwa hata kama wanakumbwa na ucheleweshaji wa michakato.
Taasisi au mashirika ya kiserikali yakipewa jukumu la wao kufanya michakato itakuwa kichomi kwa walalahoi/wasio na koneksheni.
Nimewaza hivi, je wadau mna maoni gani juu ya mawazo yangu haya?
Very truly.Wala usiangaike nazo, moja, formality ya usaili utumishi ni tofauti sana na huku private sector.
Pili, hata ukirekebisha sasa, haitasaidii kwa usaili wako huu oral, mpaka itapotokea umeomba tena, kifupi, itakua effective kwa saili zijazo.
Pale sidhani kama wanakuwa na copy ya cv yako uliyo-update kwenye system. Lakini ambacho ningeweza kukushauri pia, ni hivi unaweza kuutumia huo muda kuji-introduce vizuri na kuelezea kwa kifupi kwa kuanzia education background had work experience. Unaweza taja level of education na muda uliotumia kukumilisha hiyo level(starting year to finishing year) hivyohivyo kwenye work experience.Ooh sawa boss,utofauti how? Cv doesnt matter? Si kuna lile swali la background ama
Wale wajomba hawanaga cv yako pale aisee.tulishawahi kuwa na debate na wadau flani kuhusu hii issue.Pale sidhani kama wanakuwa na copy ya cv yako uliyo-update kwenye system. Lakini ambacho ningeweza kukushauri pia, ni hivi unaweza kuutumia huo muda kuji-introduce vizuri na kuelezea kwa kifupi kwa kuanzia education background had work experience. Unaweza taja level of education na muda uliotumia kukumilisha hiyo level(starting year to finishing year) hivyohivyo kwenye work experience.
AKiandaa tu lab kwaajili ya wasahili ana 300k😊Mishahara huwa ni Siri.Japo ukibahatika kupata mtumishi halisi wa Idara hiyo anaweza kukueleza kwa usahihi...
Kazi za Ofisini huwa nazikubali.Muda wa kazi za Gavo ni kuanzia saa 1 : 30 asubuhi hadi saa 9:30 Mchana
Hujanielewa boss.Pale sidhani kama wanakuwa na copy ya cv yako uliyo-update kwenye system. Lakini ambacho ningeweza kukushauri pia, ni hivi unaweza kuutumia huo muda kuji-introduce vizuri na kuelezea kwa kifupi kwa kuanzia education background had work experience. Unaweza taja level of education na muda uliotumia kukumilisha hiyo level(starting year to finishing year) hivyohivyo kwenye work experience.
Kaz ambayo sio ya ofsn ndo ina helaKazi za Ofisini huwa nazikubali.
Ila sema kazi niliyosomea si ya ofisini.