AsanteUnavaa vazi la heshima tu.Kikubwa isibane sana mpaka ianze kuonyesha ramani zote...
Fuatilia suruali wazifaazo Viongozi...
Au fuatilia mwongozo wa mavazi kwa watumishi wa Umma.
Naimani umeshaona huo mwongozoAsante
Bila kusahau kuna kahoteli pale utaenda kunywa chai andaa kahela kako kama hautafunga hio siku😁Unaripoti saa Moja asubuhi, mnakaguliwa vyeti,mnakusanya simu. Kama mko wengi mnaganywa kwenye vikundi na vyumba vya usaili. Yote hayo mnaweza kumaliza hata kabla ya saa 3 asubuhi. Lakini amini Amin nakuambia kwenye usaili mtaanza kuingia saa 6 au saa 7. Hapa hata aliyekuwa na wenge la kusoma lazima wenge likate.
Maswali mara nyingi ni matano,swali kwanza unaambiwa tell us about your self.
Mengine manne utataja pointi zisizopungua Tano kwa Kila swali kulingana na kada husika.
Naomba kuuliza,mdada kwenye interview ya utumish anaruhusiwa kuvaa suruali ya kitambaa?
Naona kazi nyingi ni wachumi ,wahasibu watu wa sheria na kilimo kidogo ,kada nyingine unakuta nafasi 2. Kila baada ya miezi 6- mwakaKbsa maana kuna kada zinahaso sn kupata nafasi
KabisaNaona kazi nyingi ni wachumi ,wahasibu watu wa sheria na kilimo kidogo ,kada nyingine unakuta nafasi 2. Kila baada ya miezi 6- mwaka
Sawa boss,asanteNdio madam, na asilimia kubwa Huwa wanavaa hivyo na kupendeza sana. Suruali ya kitambaa ni vazi rasmi la kiofisi Kwa mwanamke.
Sh ngap vyakulaBila kusahau kuna kahoteli pale utaenda kunywa chai andaa kahela kako kama hautafunga hio siku[emoji16]
BadoNaimani umeshaona huo mwongozo
Achana na suruali sijui za heshima huwezi jua wasimamizi wataamkaje siku iyo. Utakutana na mbibi ametoka Chuo cha utumishi wa Umma lazima akutoe nje.Naomba kuuliza,mdada kwenye interview ya utumish anaruhusiwa kuvaa suruali ya kitambaa?
Achana na suruali sijui za heshima huwezi jua wasimamizi wataamkaje siku iyo. Utakutana na mbibi ametoka Chuo cha utumishi wa Umma lazima akutoe nje.
Usivae zile za chuoni ulicho somea zile zinazoonyesha mpaka , chupi !Asante
All the best cwthrtAmen mkuu,ntajitahidi,Mungu anitetee kwakweli.
ndiooNaomba kuuliza,mdada kwenye interview ya utumish anaruhusiwa kuvaa suruali ya kitambaa?
InaruhusiwaNaomba kuuliza,mdada kwenye interview ya utumish anaruhusiwa kuvaa suruali ya kitambaa?
Huo Hapo....Bado