HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hii nimeiona sehemu
IMG-20230209-WA0012.jpg
 
Tushajadili athari za usafiri wa namna hiyo(yaani magari ya hamna kulala) humu

Twinawe ni shahidi wa athari zake.

Kama hauna sababu ya msingi kukufanya utumie huo usafiri, usiutumie, tumia usafiri wa Umma.
Heeee skujua my dear nahis huo uzi ulinipita,shukran.

Kama waweza nipa link nkauzoom
 
Bado ipo. Hata kwangu ipo.. na zipo interview mbili moja selected for oral nyingine selected for null ndo maana nikataka kujua tofauti zake
Dah... mm ilikua selected for null, wameondoa wakaweka selected for oral interview kwenye app ambayo haibadiliki tena
 
Tushajadili athari za usafiri wa namna hiyo(yaani magari ya hamna kulala) humu

Twinawe ni shahidi wa athari zake.

Kama hauna sababu ya msingi kukufanya utumie huo usafiri, usiutumie, tumia usafiri wa Umma.
Asee mi sishauri mtu asafiri kwa design hiyo kupanda Costa na hizi gari ndogo ni kujirisk sana mimi ni muhanga asee bora ujirisk wakati wa kurudi ila wakati wa kwenda book mapema safiri salama.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Anayejua mishahara ya hawa "menejimenti ya utumishi wa umma na utawala Bora" aniambie tafadhali
Anayejua mishahara ya hawa "menejimenti ya utumishi wa umma na utawala Bora" aniambie tafadhali
Hongera sana mkuu kwa kupata na huku japo sina hakika kama unaweza kutoka uliko kwa muda huu,labda jaribu kufanya mchakato
 
Ahsante sana ubarikiwe
1. Duties za statistician.
2. Methods of data collection
3. Steps of conducting research
4. When to use Qualitative and Quantitative research
5. Types of data
6. How do you stay current with the latest developments in statistics and data analysis?
7. What is your experience with time series analysis and how have you applied it in your work?
8. What is your experience with data visualization and how do you choose the appropriate chart or graph for a given dataset?
9. What is the central limit theorem and how does it apply to statistical analysis?
10. Challenges
11. Tell us a little bit abt yourself
12. What are the disadvantages and advantages of statistics
13. Explain the scopes of statistics

Experince ya kufanya interview as statistician hayo ni baadhi ya maswali nlokumbana nayo

But qn no 1,2,3,4,9,12 nilikutana nayo utumishi
 
Back
Top Bottom