HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Endlea kula msuli mkuu
Msuli gani tena 🤣🤣🤣 Mara nyingi nasoma zikibaki Siku 2 au 1 kwenda Kweny Mtihani.

Siitaji Lawama za Kijinga ujione umejianda Sana arafu tokeo likitoka upo Chini ya 50 uanze kuilaumu PSRS kuwa hawasahihishi Mtihani kisa taswira zangu za kujiona Nimejibu Vizuri.
 
Wale wanaosubiri placement, haya nendeni mkaangalie majina yenu kuna new imeshawekwa asaivi

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Haha hizi tarehe za oral interview mbona sijazielewa
Screenshot_20230208-130848_Samsung%20Notes.jpg


Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom