HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wakuu na mimi naingia oral kwa mara ya kwanza, sema nafasi ni moja, hii ne green light kwangu kwa mwaka huu.

Pia niwatie moyo wale ambao wanasema utumishi hawasaishi pepa, nilifanya pepa ya UDSM hizi za juzi kati, na mimi pia nilijibu vizuri tu.

Nilipokuja jifanyia tathmini baada ya pepa niligundua maswali mawili sikuyajibu vizuri, hivyo yale malalamishi yangu ya awali kwa Sekretarieti ya Ajira juu ya usahaishaji nimeyafuta.

Hii oral yangu ya kwanza, kwakweli pepa yake ya written nilifanya vizuri na nilijua lazima nizame oral na imekuwa hivyo, ngoja nikapambanie hiyo nafasi moja.

Wakuu msikate tamaa.
View attachment 2510162
Hongera sana mkuu, ikawe kheri kwako
 
Kwa watakwimu waliofika oral kipindi cha nyuma tupeni hints kidogo interview zinatokaje jaman
Nakushauri pitia kiundani/study in deep kuhusu zile job descriptions( usiishie kuzisoma tuu kama walivyoorodhesha bali wewe nenda one or two extra miles. Maana kuna swali moja au mawili yatatokana na job descriptions ya nafasi uliyoomba.
 
Back
Top Bottom