Wale wa TRA Kuna PDF yenu huko ya kuitwa kazini..
Huuuuuuuuuuuuuiwii utumishi kumedamshi😃
Hasaaa hawa wa TRA.Kuwa serious mkuu Kuna watu Wana pressure humu.
Unataka usiriasi Kila mda si tutakimbiana hapa.Kuwa serious mkuu Kuna watu Wana pressure humu.
Uwih mbn mambo mengi sana!Wale wa TRA Kuna PDF yenu huko ya kuitwa kazini..
Huuuuuuuuuuuuuiwii utumishi kumedamshi[emoji2]
Mrembo nawe wasubiria za TRA 😜Uwih mbn mambo mengi sana!
Ndo mimi nimeshangaa manake kama ni wa tar 4 ndo sisi tulifanya tar hiyo ict technician manake wamechukua tulofanya naoEty watu wamefanya Usaili mwaka huu tar 4 January halafu washapata placements zao.. wewe wa Nov last year unaendelea kusugua bench
[emoji16][emoji16][emoji16]
Hawa sio usahili, walishafanya tangu mwaka jana ndio wameitwa kazini haoHaha hizi tarehe za oral interview mbona sijazielewaView attachment 2510250
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Huko si ndio Kuna mchuzi na posts nying zilitangazwa.Hasaaa hawa wa TRA.
HhhaahhahahHuko si ndio Kuna mchuzi na posts nying zilitangazwa.
Ilkua taasis gn mkuuNdo mimi nimeshangaa manake kama ni wa tar 4 ndo sisi tulifanya tar hiyo ict technician manake wamechukua tulofanya nao
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Ahaa ok sawa nkjua ni taasis hiyo walioita kzn
Ndo nilikua nahusianisha tar za oral nkaona inawezekana wakawa wamechukua baadhi ya tulofanya naoAhaa ok sawa nkjua ni taasis hiyo walioita kzn
Yah possible kbsa mkuuNdo nilikua nahusianisha tar za oral nkaona inawezekana wakawa wamechukua baadhi ya tulofanya nao
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Ndio mtaalamu hao jamaa pia walifanya ile ya techniciansNdo nilikua nahusianisha tar za oral nkaona inawezekana wakawa wamechukua baadhi ya tulofanya nao
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Walifanya pamoja na sisi au wamechukua tulofanya nao?Ndio mtaalamu hao jamaa pia walifanya ile ya technicians
Tulifanya pamoja nao hao alafu kuna mmoja apo alishapataga placement ila ana bahati kubwa😅😅😅Walifanya pamoja na sisi au wamechukua tulofanya nao?
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app