Expiresasa kwenye mikeka sioni kuanzia waliofanya kuanzia mwez wa 8 mwaka jana au ndio wameishachacha tayari..??
Expiresasa kwenye mikeka sioni kuanzia waliofanya kuanzia mwez wa 8 mwaka jana au ndio wameishachacha tayari..??
duhh tutafika mbinguni na magongoExpire
Mimi ipo ya tar13/08/2024 hadi sasa imeandika recievedmie mwenyewe nina received ya mwaka jana nikajua washaifuta
Hongera sana. Ukawe Mtumishi mwema. Kila la kheri mkuuHabarini wasaka asali !
Hatimae siku ya leo nimelamba asali kupitia Psrs hakika Mungu ni mkuu 🙏🙏🙏
Mkuu nakusalimu.duhh tutafika mbinguni na magongo
wamepunguza kasi kwenye kuita watu interview watakua wanaprocess majina..Mimi ipo ya tar13/08/2024 hadi sasa imeandika recieved
ila 2024 watakua wameifuta hiyo yaani umeexpire na interview hujafanya🤣 🤣Mimi ipo ya tar13/08/2024 hadi sasa imeandika recieved
kaka kwema uko naskia asali za uko si mchezo mpaka mnazimwaga..Mkuu nakusalimu.
Huko posho extra duties na incentives za kutoshaIvi wakuu Maslahi ya NAOT yakoje et
wale watu 100 wataenjoy sanaHuko posho extra duties na incentives za kutosha
wako 142wale watu 100 wataenjoy sana
nomaawako 142
Ndiomaana hukauki kwenye uzi wa pisi kumbe uhakika bro😎Ahsanteni wakuu naimani na nyie one day mtakuwa kwenye list
Umenikataa kule umekuja uku kufukua makaburi😁Ndiomaana hukauki kwenye uzi wa pisi kumbe uhakika bro😎
maslah yake yakojenomaa
Niliuachia uzi hapo ndio nmeukutia kwenye asali hongera sana aisee!Umenikataa kule umekuja uku kufukua makaburi😁
AhsanteNiliuachia uzi hapo ndio nmeukutia kwenye asali hongera sana aisee!
Akhaa kwani huu uzi upo wewe tu? Mi nilikuwa napita zangu💃🏽Ahsante
Kwahiyo ndio umekuja huku masijala kwanza kuangalia baadhi ya cv
Hatimae ukapita ni mimi 😀😀Akhaa kwani huu uzi upo wewe tu? Mi nilikuwa napita zangu💃🏽