Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 34,924
- 100,349
Tulia bwana mdogo!Hatimae ukapita ni mimi 😀😀
Tulia bwana mdogo!Hatimae ukapita ni mimi 😀😀
Salary na allowance 2m+maslah yake yakoje
mmhSalary na allowance 2m+
Sawa nimetulia tuliiiTulia bwana mdogo!
Tupo 142 mzee, ingawa kwenye group walilotutengenezea inaonekana tupo 136 tu.wale watu 100 wataenjoy sana
Salary na allowance 2m+
mmmh ivi apo kwenda training ni mpk ln mtaalamTupo 142 mzee, ingawa kwenye group walilotutengenezea inaonekana tupo 136 tu.
Kama nawe uliitwa means uko kwenye group na updates unazipata au me ndio sijakusoma mkuu?mmmh ivi apo kwenda training ni mpk ln mtaalam
😁😁Kama nawe uliitwa means uko kwenye group na updates unazipata au me ndio sijakusoma mkuu?
huyu K5 anauliza maswali juu ya taasisi aliyoitwa hapo ndo ananishangazaKama nawe uliitwa means uko kwenye group na updates unazipata au me ndio sijakusoma mkuu?
mmmh wanajipa moyoo haoo mzee kurud selected for oral so rahisi coz ushakuwa kwa data baseKuna watu walisema status zilikua passed and stored then zikarudi selected for oral, naskia ndo sign ya placement hiyo
Yani ndo placement from databasemmmh wanajipa moyoo haoo mzee kurud selected for oral so rahisi coz ushakuwa kwa data base
Tuseme system inacheza wakiwa wanaupload au..yote kwa yote tuwaachie wao tu,siku ikifika imefikaYani ndo placement from database
Deadline ya kuripoti ishapitaWengine hawajawasili labda
Kuna watu walisema status zilikua passed and stored then zikarudi selected for oral, naskia ndo sign ya placement hiyo
Nilikuuliza hivi kama nawe ni miongoni mwa walioitwa means umeungwa kwenye group na updates zote unaziona,sasa iweje uje kuniuliza mimi huku jf wakati kila kitu tumeambiwa na HR kule kwenye group?so tunaitwa ln m huku kwa mhindi nishaachA
na mimi kuna mmoja nimemsikia instagram juzi kasema ilikua hivo na placement akapata after a dayYupo mmoja ilitoka passed and stored then ikarudi selected for oral kesho yake akapata placement ilikuwa week iliyopita