Isenye
JF-Expert Member
- Dec 22, 2024
- 1,887
- 4,935
Hongera mkuuKama masikhara jina langu lipo
Hongera mkuuKama masikhara jina langu lipo
Hongera sana mkuuKama masikhara jina langu lipo
aisee hongera mkuuKama masikhara jina langu lipo
HongeraKama masikhara jina langu lipo
Hongera sana,umepangiwa kada ipiAhsanteni wakuu naimani na nyie one day mtakuwa kwenye list
YAH bro, mm nilipiga oral April na ndivyo walivyofanya hvy.Yani saivi panelists hawakai na zile score sheets, instead chairman anakua tu anaandika majibu yako,ukishamaliza wakakuruhusu kutoka kwenye chumba vha usahili ndio wanayacompare na marking scheme yao waliyonayo kisha wanakutunuku marks ulizostahili
Yalikua yamoto kiasi mkuuduhh mbona kama yalikua yamoto au kwa kua sio kada yangu
🤣 🤣 🤣 🤣 da kwaio uliangushwa na kimalkiaYAH bro, mm nilipiga oral April na ndivyo walivyofanya hvy.
Kati ya oral niliyofanya vibaya bc n hiyo, nilizingua parefu kiasi kwamba sina hamu hata kupitia ajira portal, imagine maswali mawili sijajibu kitu chcht nmenyamaza tuu kmmk 😭
Maswali yalikuwa mepesi Ila walicheza na English kwa kuweka misamiati ambapo swali hilohilo lingekuwa kwa English nyepesi nngeyajibu 🙌
Kudadeki wallah maswali yapo kimisamiati ya English ya ndani ndani kabisa nilipokuja kufuatilia hiyo misamiati kumbe ya kawaida tuu, ah nilichoka🤣 🤣 🤣 🤣 da kwaio uliangushwa na kimalkia
mi mwenyewe ilishanikuta iyo nikabaki natoa macho sasa hivi nitaanza kusoma na dictonary 🤣🤣🤣Kudadeki wallah maswali yapo kimisamiati ya English ya ndani ndani kabisa nilipokuja kufuatilia hiyo misamiati kumbe ya kawaida tuu, ah nilichoka
Knoma sana mzee wangu 😂mi mwenyewe ilishanikuta iyo nikabaki natoa macho sasa hivi nitaanza kusoma na dictonary 🤣🤣🤣
hivi katibu kustaafu haiwezi kuathiri pdfSiku imeisha.
No Pdf
Sidhani.hivi katibu kustaafu haiwezi kuathiri pdf
Nami nimewaza hilohivi katibu kustaafu haiwezi kuathiri pdf
Haiwez kuafect pdf maana wale tuliolamba asali kuanzia mwezi wa saba hapo alikua anasinya kaimu katibu Samwel Tanguye.hivi katibu kustaafu haiwezi kuathiri pdf
Inahusu nini hii kozi?Kwani mnaopata kazi serikalini mmesoma kozi gani mbona Mimi hua Sioni kazi za social protection zikitangazwa jamani msaada jamani