HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Sasa mm kesi yangu ipo tofauti kdg, taasisi A nilikuwa kanzidata kwa post fulani, sasa ishu inakuja kwamba taasisi hiyo hiyo A inatangaza nafasi ile ile kwa vigezo vilevile na bado usaili unaanzishwa mwanzo wakati kuna watu bado wapo kanzidata.

Umeelewa hapo bro.?
HUO NI UKIRITIMBA, MWISHO, MLIOPO KANZIDATA MTAANDIKIWA "YOUR DATA BANK HAS EXPIRED".
 
ndicho kinachofanyika. Ni sababu pia ya wao kusema ukiwa kanzi data si guarantee ya kazi
Kanzidata ilianzishwa kwa malengo mazuri lakini watu wanapita humo humo kwenye upigaji..bora wabadili tu kama wanahitaji watu 30 basi wachukue hao thelathini tu..na marks wapange kulingana na 1-30, kuliko kupata matokeo ulifaulu nafasi hazikupatikana jaribu tena.
 
Kuna watu walisema status zilikua passed and stored then zikarudi selected for oral, naskia ndo sign ya placement hiyo
Je na ambao hawajapass na data base imeixipire zimekuaje? Au zimerufi hivyo hivyo selected for oral?
 
Back
Top Bottom