HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mwezi huu September naingia 32 Mkuu. Majukumu pia yamekua mengi mke na watoto wawili sasa kuendelea kusubiri huruma za watu wa utumishi ili kupata muafaka wa maisha yako ni kipengele mtaalam.
Hata sisi majukumu tunayo mengi tu mkuu tena huenda kukuzidi..cha kufanya wewe usiache kuapply,unaendelea kupiga mishe zako zingine huku unakua unasikilizia utumishi
 
Kabisa kaka kupambana bila kuchoka
 
Mwezi huu September naingia 32 Mkuu. Majukumu pia yamekua mengi mke na watoto wawili sasa kuendelea kusubiri huruma za watu wa utumishi ili kupata muafaka wa maisha yako ni kipengele mtaalam.
Pole sana Haina namna kuendeleza mapambano, mimwenyewe hivi Sasa na 30 mwez wa 12 natimiza 31 nimeamua kuoa kwa sabab uelekeo wenyewe haupo wa job,usaili tunafanya lakini bahat hazipo kwetu tuzid kumuomba Mungu na tusikate tamaa
 
Wale wa database naona fagio linapita hiyo naona saivi wanachukuwa wa mwezi wa 12 mpaka wa 8
 
Pole sana Haina namna kuendeleza mapambano, mimwenyewe hivi Sasa na 30 mwez wa 12 natimiza 31 nimeamua kuoa kwa sabab uelekeo wenyewe haupo wa job,usaili tunafanya lakini bahat hazipo kwetu tuzid kumuomba Mungu na tusikate tamaa
Asikate tamaa,yeye aendelee hadi 45 ikibidi,ila majukumu mengine aendelee nayo,akitoboa ndo aache rasmi.
 
Back
Top Bottom