Assembly Point
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 226
- 635
Kada yetu leo haijaguswa kabisaLeteni ushuuda pdf tayari
Kada yetu leo haijaguswa kabisaLeteni ushuuda pdf tayari
Ipi hiyo kiongoziKada yetu leo haijaguswa kabisa
Issue ya sign kakaWanalo.
Ila kama ni issue serious sana niagize mimi.
Juma3 nina safari ya pale ofisini kwao Dodoma.
Sawa mkuuIssue ya sign kaka
Wameshaanza kuita Kwenye kada yangu naona leo wameita 7Sisi wa mwezi wa nne naona bado mkuu
Mimi kada yangu mwez wa 4 wameigusa sana tu kwenye MDAs na LGAs ww ulifanya upande wa taasisislSisi wa mwezi wa nne naona bado mkuu
MDA & LGA mkuuMimi kada yangu mwez wa 4 wameigusa sana tu kwenye MDAs na LGAs ww ulifanya upande wa taasisisl
Kada gani mkuu?Wameshaanza kuita Kwenye kada yangu naona leo wameita 7
Tuwe na subira mm wameita wa 4 mpka sasa. Kesho pia kuna PDF la kwendaMDA & LGA mkuu
Weekend huwa wanatoaga pdf kwaniTuwe na subira mm wameita wa 4 mpka sasa. Kesho pia kuna PDF la kwenda
Planning officer II MDAs & LGAsKada gani mkuu?
Sidhani kama hii inafanya kazi mpaka kipindi hiki maana wameupdate app yaoAndaa suti mkuu. Karibu kwenye utumishi wa umma
Ndio hızo wameanza kuita Mzee, japo kWa uchacheMDA & LGA mkuu
Hiyo hata mimi ninayo tangu mwaka jana! Msisheherekee sana mkuu!Mkuu kuna pisi yangu moja imefanya imeingia kwenye oral ila ndio hatujui chochote. Tizama hii picha then utusaidie hapo amepata au amekosa?
Hapo mwisho baada ya Oral ndio kuna Completed.
hakuna maelezo mengine
View attachment 3619687
Shiyeenzi🤣katika haya maisha sikutarajia kama itafika siku nitakua nashangilia pdf likitoka na utu uzima wangu..
Mkuu mkuu kwemakatika haya maisha sikutarajia kama itafika siku nitakua nashangilia pdf likitoka na utu uzima wangu..