El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 3,048
- 6,413
kwema mkuu naona asali umeshaizoea sasaMkuu mkuu kwema
kwema mkuu naona asali umeshaizoea sasaMkuu mkuu kwema
Yaani mm najoin jukwaa yumoo 2023 Mungu wawote lkn one day yesNa ana miaka kama sita humu🫢
Niliona kuna kimvuli kwa mangi ni barabarani sana imagine unanikuta na mpeps big nakunywa hazaran mweeeWewe si ungeenda kwa mangi kwanini uende hotelini 🤣
Kabisa!Yaani mm najoin jukwaa yumoo 2023 Mungu wawote lkn one day yes
Basi jikaze tu huna namna!🤣Niliona kuna kimvuli kwa mangi ni barabarani sana imagine unanikuta na mpeps big nakunywa hazaran mweee
Ngoja niongeze kipato huenda afu tatu ni hela ya kawaida sana hapa tanzania 🇹🇿Basi jikaze tu huna namna!🤣
Mama hujaitwa pdf za jana majina yote yale humo?? So dad 👨Basi jikaze tu huna namna!🤣
Ya kawaida kabisa!Ngoja niongeze kipato huenda afu tatu ni hela ya kawaida sana hapa tanzania 🇹🇿
Naitwa kufanya nini wakati sikupita oral?Mama hujaitwa pdf za jana majina yote yale humo?? So dad 👨
Miracle happen sometimesNaitw akufanya nini wakati sikupita oral?
Ngoja tuone..Miracle happen sometimes
Ngoja nikaoge niende kibaruani kwangu kabla ya 7/7Ngoja tuone..
Utakufa pressure relax wanaopata wote humu huoni wakipiga kelele pdf likitoka yumo unafukuza bahati kaka mkuu haha 😄Kwani jumamosi huwa hawatoi pdf?
Nilifanya Cooperative officer ii ,naona wameita mtu mmoja tu while nafasi zilikua 46.Mimi kada yangu mwez wa 4 wameigusa sana tu kwenye MDAs na LGAs ww ulifanya upande wa taasisisl
Hongera unaingia kibaruani unavyotaka! Saa 6 hii🤨Ngoja nikaoge niende kibaruani kwangu kabla ya 7/7
Yani wewe mpaka sukari ishuke ndio utaona jina lako!Nilifanya Cooperative officer ii ,naona wameita mtu mmoja tu while nafasi zilikua 46.
8.45 natoka saa 4.45 usikuHongera unaingia kibaruani unavyotaka! Saa 6 hii🤨
Kitajiri sana, naombeni kazi hiyo namimi8.45 natoka saa 4.45 usiku
Huwa wanatoaKwani jumamosi huwa hawatoi pdf?