mcharaganya
New Member
- Oct 26, 2019
- 2
- 4
Kada gani mkuu, ulifanya usaili linFamilia yangu ya kutafuta tobo la.asali kupitia Utumishi.Hatimae leo nime lamba asali.Mungu aliyenipa mimi atawapa nanyi .Msikate tamaa....
Kada gani mkuu, ulifanya usaili linFamilia yangu ya kutafuta tobo la.asali kupitia Utumishi.Hatimae leo nime lamba asali.Mungu aliyenipa mimi atawapa nanyi .Msikate tamaa....
Hongera sana!Familia yangu ya kutafuta tobo la.asali kupitia Utumishi.Hatimae leo nime lamba asali.Mungu aliyenipa mimi atawapa nanyi .Msikate tamaa....
😀😀😀😀😀Ni pisi yako au unavunga tu ni wewe mkuu?
Iambie iendelee kusubiri wakati wa bwana.
Ukawe mtumishi mwema kwa watanzania wenzako.Familia yangu ya kutafuta tobo la.asali kupitia Utumishi.Hatimae leo nime lamba asali.Mungu aliyenipa mimi atawapa nanyi .Msikate tamaa....
Asante sana kakadah ongera sana mkuu mungu akutakulie katika majukumu yako mapya
Nimefanya kada ya Mtakwimu, Shirika la Bima la Taifa(Nic).Nilifanya tarehe 21 April mwaka huu.Kada gani mkuu, ulifanya usaili lin
Sitowaangusha, mwenyezi Mungu ataniongoza vyema.Asante sana kwa pongezi.PSRS hawana upendeleo, ni kufahulu tuu.Unapata haki yako.Ukawe mtumishi mwema kwa watanzania wenzako.
Wananchi wana imani na wewe.
Mh Rais anategemea utatoa huduma yenye viwango.
Asante sana ndugu yangu.Hongera sana!
Hongera sana mkuu na karibu utumishini..Nimefanya kada ya Mtakwimu, Shirika la Bima la Taifa(Nic).Nilifanya tarehe 21 April mwaka huu.
Asante sana ndugu yangu.Hongera sana mkuu na karibu utumishini..
Asante kwa kuendelea kutupa moyo 🙏Sitowaangusha, mwenyezi Mungu ataniongoza vyema.Asante sana kwa pongezi.PSRS hawana upendeleo, ni kufahulu tuu.Unapata haki yako.
Amen ndugu yangu.Asante kwa kuendelea kutupa moyo 🙏
Hongera sana Bwana Alpha E.Nimefanya kada ya Mtakwimu, Shirika la Bima la Taifa(Nic).Nilifanya tarehe 21 April mwaka huu.
Asante sanaHongera sana Bwana Alpha E.
Siku nyingine TenaHello my fellow jobless
Hadi mwaka mmoja..kuna jamaa yangu alipiga oral interview mwaka jana mwezi wa 9,kaja kupangiwa kazi mwaka huu mwezi May.Swali wazoefu,hivi mtu kuajiriwa kutoka database inaweza chukua miezi mingapi,maana database ndo tegemeo pekee