billionea alpha
JF-Expert Member
- Apr 10, 2014
- 1,496
- 1,759
Sure aisee,.sasa huyu anakuja kusema kama ujaona asubuhi ndo basi tena.barua inaweza kuingia muda wowote kuanzia asubuhi saa moja mpaka mwisho wa muda wa kazi ambao ni saa 10.pdf ndo wanaweza kuweka mpaka hata saa 6 usiku....