Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 34,849
- 100,041
Wanatwist sana, vingereza kibao na kukupa maswali wanatofautisha neno moja tu kwenye multiples, hebu imagine!kwakweli yaani mtu unajiuliza nafelije maswali ya multiple choice kumbe tatizo ni wao
Wanatwist sana, vingereza kibao na kukupa maswali wanatofautisha neno moja tu kwenye multiples, hebu imagine!kwakweli yaani mtu unajiuliza nafelije maswali ya multiple choice kumbe tatizo ni wao
Members wa humu tumelaaniwa🤣Na PDF ya jana hakuna kiumbe hata mmoja wa humu atupe shuhuda, au sie members wote wa humu ni fungu la kukosa
Imekuwaje?Mwakan namm ntakua member hai wa huu uzi
Kwasasa kila la heri wasaka ajira
Ualimu sio Kaz ya ndoto zangu, natamani niwe academician au research assistant hata tutorial assistant kwakuanzia, kwahyo mwakan ntakua na sifa za kuombaImekuwaje?
Ata huko bado ww ni MwalimuUalimu sio Kaz ya ndoto zangu, natamani niwe academician au research assistant hata tutorial assistant kwakuanzia, kwahyo mwakan ntakua na sifa za kuomba
Weee tulia shida ni ww mwenyewe maswali wanatumia AI kutunga yalekwakweli yaani mtu unajiuliza nafelije maswali ya multiple choice kumbe tatizo ni wao
Tunatofautina muktadha mm naongelea majina ya kiserikali kwa kazi rasmi, kuna teacher grade A, B , C kuna tutorial assistant, assistant lecturer na lecturer hivo ni vyeo tofauti hata kama wote mnafundishaAta huko bado ww ni Mwalimu
Au hujaelewa tafsiri ya mwalimu?
Ile PDF ya jana imekaa vibaya sana mfano OTR ni internal recruitment ileeNa PDF ya jana hakuna kiumbe hata mmoja wa humu atupe shuhuda, au sie members wote wa humu ni fungu la kukosa
Mungu akutangulie kijana taduta GPA ya 4.3 kabisa otherwise utaenda tengeru collegeTunatofautina muktadha mm naongelea majina ya kiserikali kwa kazi rasmi, kuna teacher grade A, B , C kuna tutorial assistant, assistant lecturer na lecturer hivo ni vyeo tofauti hata kama wote mnafundisha
Mshahara ni uleule kwa tutorial assistant uwe udsm au tengeru hata kama kuna utofat haufik 200kMungu akutangulie kijana taduta GPA ya 4.3 kabisa otherwise utaenda tengeru college
Aliekuambia nan UDSM afanane na tengeru kinachingia mwisho wa mwezi mjomba ebu kalale hukoMshahara ni uleule kwa tutorial assistant uwe udsm au tengeru hata kama kuna utofat haufik 200k
Kuna siku nimeenda zangu na hangover tu maana siku ya kwanza nilikomaa macalculations kibao nakuta hola!hizi interview ukisema usome ujiandae ili utoboe ndo unafeli yaani unakutana na maswali opii kabisa bora uingie uko nyagi...
Ooh kwahiyo unafanya kazi huku unasoma? Usiache tu kazi maana utumishi hawachekeshi! Mimi niliomba assistant mwaka jana wakachukua watu wa3 tu!Ualimu sio Kaz ya ndoto zangu, natamani niwe academician au research assistant hata tutorial assistant kwakuanzia, kwahyo mwakan ntakua na sifa za kuomba
wasaka tonge ni watu ganiMuwe na asubuhi njema wasaka tonge