Leonce jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 3,214
- 5,283
Ee kaka mdomoni mm ni mwingi kumshawish mtu jambo langu aniangalie kama nilipata ngap oral 😄🤣😂😆 maana hata akikataa hawez nipiga wala kuniitia policeHa ha ha dah..unataka uwatimbie ?
Ee kaka mdomoni mm ni mwingi kumshawish mtu jambo langu aniangalie kama nilipata ngap oral 😄🤣😂😆 maana hata akikataa hawez nipiga wala kuniitia policeHa ha ha dah..unataka uwatimbie ?
Sanaaaa, kongole kwa muanzilishi wa uzi huu.nimekumbuka huu uzi umetutoa wengi
Mimi imenichukua Miezi 11 ndio Nikaitwa kaziniSwali wazoefu,hivi mtu kuajiriwa kutoka database inaweza chukua miezi mingapi,maana database ndo tegemeo pekee
Ulipelekwa nafasi ileile ulofanyia oralMimi imenichukua Miezi 11 ndio Nikaitwa kazini
Amen mkuuGood morning fellows jobless hope ur doing good everyone. Kila mmoja kwa iman yake aliengia oral ambae hakuingia oral tuombe mazuri kwa pamoja walioingia wapate foleni ipungue.
Mwenyezi Mungu leo lishuke PDF la GB 10 na mimi niwemo kwenye hilo PDF siku ya mwisho ya week.
Mungu mwema wakati wote.
Amen kaka ikawe kheri kwetu soteGood morning fellows jobless hope ur doing good everyone. Kila mmoja kwa iman yake aliengia oral ambae hakuingia oral tuombe mazuri kwa pamoja walioingia wapate foleni ipungue.
Mwenyezi Mungu leo lishuke PDF la GB 10 na mimi niwemo kwenye hilo PDF siku ya mwisho ya week.
Mungu mwema wakati wote.
Ile ile mkuu Taasisi tu ndio TofautiUlipelekwa nafasi ileile ulofanyia oral
Amina 🙏Good morning fellows jobless hope ur doing good everyone. Kila mmoja kwa iman yake aliengia oral ambae hakuingia oral tuombe mazuri kwa pamoja walioingia wapate foleni ipungue.
Mwenyezi Mungu leo lishuke PDF la GB 10 na mimi niwemo kwenye hilo PDF siku ya mwisho ya week.
Mungu mwema wakati wote.
Nafasi yako kama ipo ipo tu kaka subiri muda ufike uitweKwa tafiti yangu ndogo, kwa upande wa finance wameanza kupangia kazi watu waliofanya interview march 2026 kwa post ya accounts officer
Kada ipiNimekosa hongera kwa waliochaguliwa
Wanalo.Wakuu PSRS hawana banda lao pale saba saba ground
UhandisiKada ipi
Tusubiri miujiza ya database kaka mkubwaUhandisi