Kandambili1
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 1,124
- 2,982
Harakati ziendelee ndugu zangu...Mungu awakumbuke wote mnaoendelea kuhudhuria interview mpate nafasi nzuri sawa sawa na subira zenu.
The pressure move perpendicular to the force where the force is pull or push factors 😄🤣Miss u too!
The pressure increases or decreases?😁
Tuma salamu kwa watu watatu 😄Usingizi hakuna kabisa
Engineer detected! Am talking about glucose level not pascal’s law or physics 101🤣The pressure move perpendicular to the force where the force is pull or push factors 😄🤣
Iko low nahitaji fanta kupandishaa ili reaction itokee ku regulate heart beat na blood sugar levelEngineer detected! Am talking about glucose level not pascal’s law or physics 101🤣
BP ikoje huko🌚
View attachment 3622082K
Kunywa kwa mangi hapo nitalipa😎Iko low nahitaji fanta kupandishaa
Demand inekuwa kubwa kuliko supply soda zimepanda bei sana. Labda chemi colaKunywa kwa mangi hapo nitalipa😎
Zimefika buku? Mbona tutaanza kukoroga juice cola,Demand inekuwa kubwa kuliko supply soda zimepanda bei sana. Labda chemi cola
Seran we ulitarajia katika maisha yako utakuja kushangilia PDF.. 🤣 🤣
we ni muhandisi kada ipiUhandisi
Afu tatu huku kwetu kama hotelin mwili mzima ulinitetemeka narudishiwa afu mbili baada ya kutoa kitita cha shilling afu 5Zimefika buku? Mbona tutaanza kukoroga juice cola,
Seran we ulitarajia kweli maishani utakuja kushangilia PDF.. 🤣
Wewe si ungeenda kwa mangi kwanini uende hotelini 🤣Afu tatu huku kwetu kama hotelin mwili mzima ulinitetemeka narudishiwa afu mbili baada ya kutoa kitita cha shilling afu 5
Na ana miaka kama sita humu🫢Kk jina lako halijatoka tuu
kwema mkuu naona asali umeshaizoea sasaMkuu mkuu kwema