Naam Mkuu.Sahihi kabisaaa mkuu
Ndioo yupo tena aliitwa H.R wizarani hukoo wizara X kaka sema nahisi ni baazi ya kazi zina database na si zote wazeeWakuu kuna mtu ana ushuhuda wa kuitwa kazini au kusikia mtu wake wa karibu ameitwa kazini kupitia Database hata baada ya ule muda wa Database ku expire??
Mambo kumbe ndivo yalivo.. lakini database naamin ipo kwa kada zote.Ndioo yupo tena aliitwa H.R wizarani hukoo wizara X kaka sema nahisi ni baazi ya kazi zina database na si zote wazee
Practical km hujafanya inakaa Completed Not Attended yaan N/A maana yake wewe haukuvuka Written kwenda Practical yaan linasoma Not Selected for PracticalView attachment 3602082
Hii ni completed lkn sijaingia oral nilifail wakuu @x agent
Usiishi kwa kuamini kila kitu usichokiona kwa macho yako mawili epuka hata story za kusimuliwa zingine zinakua tu ngonjera za mdomoni za kufanya vijana wasikate tamaa sasa imagine wewe unaambiwa hakuna database na unafanya kila siku unafeli ungejisikiaje?Mambo kumbe ndivo yalivo.. lakini database naamin ipo kwa kada zote.
Nimekusoma vyema nilikua nataka kujua tu huu uzoefuPractical km hujafanya inakaa Completed Not Attended yaan N/A maana yake wewe haukuvuka Written kwenda Practical yaan linasoma Not Selected for Practical
Oral km hujahudhuria au umehudhuria inaandika tu Completed
Hili nalo waliangalie lkn database ipoo kuna dogo mtoto wa bibi angu ni alifanya za secretary kwenye halmashauri ya temeke wakaita watu yeye akaja kuitwa chuo cha TIA kama secretary so database ipo kwa baazi ya kada na si zote na huyo madam unae mjibu ni kaajiriwa 😄 huenda katokea databaseUsiishi kwa kuamini kila kitu usichokiona kwa macho yako mawili epuka hata story za kusimuliwa zingine zinakua tu ngonjera za mdomoni za kufanya vijana wasikate tamaa sasa imagine wewe unaambiwa hakuna database na unafanya kila siku unafeli ungejisikiaje?
Watu wa utumishi hii kitu naona wamegoma kuiweka wazi aiseee, mm n shuhuda wa hili naona kada yangu haina database mana mara mbili nashuhudia wanaita watu Hata kabla usaili wa mara ya kwanza hawajatoa pdf.Usiishi kwa kuamini kila kitu usichokiona kwa macho yako mawili epuka hata story za kusimuliwa zingine zinakua tu ngonjera za mdomoni za kufanya vijana wasikate tamaa sasa imagine wewe unaambiwa hakuna database na unafanya kila siku unafeli ungejisikiaje?
Database ipoo na inafanya kazi sema labda kwa baazi ya koziMimi naamini kila kitu kinawezekana as long as kada ina database na mtu umefanya oral
Yaa kuna mdogo ake na jamaa yangu alifanyaga oral kwa mkemia mkuu wa serikali amesoma Bs in chemistry mkeka kutoka hayumo.Database ipoo na inafanya kazi sema labda kwa baazi ya kozi
Sasa kama ulipata below pass mark wanakuwekaje database ina maana wote mlizingua ndio maana inatangazwa upya kanz data ni 0Watu wa utumishi hii kitu naona wamegoma kuiweka wazi aiseee, mm n shuhuda wa hili naona kada yangu haina database mana mara mbili nashuhudia wanaita watu Hata kabla usaili wa mara ya kwanza hawajatoa pdf.
Tutapima na database za TRA, last year watu waliambiwa wapo database, mwaka umekata ila sidhani kama kuna mtu amepita toka data base yaoYaa kuna mdogo ake na jamaa yangu alifanyaga oral kwa mkemia mkuu wa serikali amesoma Bs in chemistry mkeka kutoka hayumo.
Mwaka jana akapangiwa tume ya madini kutoka data base now yupo dodoma analamba asali
Kwani TRA walipitia Ajira portal au walitumia mfumo wao naomba nifahamishe.Tutapima na database za TRA, last year watu waliambiwa wapo database, mwaka umekata ila sidhani kama kuna mtu amepita toka data base yao
Achana na hao wahuniTutapima na database za TRA, last year watu waliambiwa wapo database, mwaka umekata ila sidhani kama kuna mtu amepita toka data base yao
Mfumo waoKwani TRA walipitia Ajira portal au walitumia mfumo wao naomba nifahamishe.
Upo sahihi lakini suala la database lipo, mimi nilichokuwa nataka faham ni kama kuna mtu amewahi itwa hata kama ile one year ya database imesha expire..Usiishi kwa kuamini kila kitu usichokiona kwa macho yako mawili epuka hata story za kusimuliwa zingine zinakua tu ngonjera za mdomoni za kufanya vijana wasikate tamaa sasa imagine wewe unaambiwa hakuna database na unafanya kila siku unafeli ungejisikiaje?
Ukiwa nazo nyingi, wanachagua vipi mfano zote upo 50% and above.Tunachokisema ni kuwa sio guarantee ukiwa na selected for oral inayodumu wiki tatu plus utaajiriwa kama ulivyosema
Tunakuambia kuwa, unaweza kuwa na selected for oral na bado usiajiriwe kikubwa ni kuwa nazo nyingi ujiongezee nafasi ya kuajiriwa