HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hiyo nilifail siku attend oral lkn nilizofaulu kwenye app zipo blank kabisa hazina mark ATTEND. vip kwa uzoefu wenu wakuu ambao mnauzoefu
Screenshot_20260606-083807.jpg
 
Niliwah kuomba watu wa humu kuonyeshwa status zikisoma tofaut Huko kwenye web na app Ila Wahusika wakala kona 😂
Ila bado hao hao wanalazimisha mambo ya app na web

Humu tunadanganyana sana
Huenda ni wanapiga story tu kuchangamsha kijiwe muda mwingine but mm ipo hivyoo kwenye web imeandikwa completed hata nilizo fail 😄 🤣 😂 😆 sasa ndio nashindwa kuelewe tena completed ilio na green
 
Huenda ni wanapiga story tu kuchangamsha kijiwe muda mwingine but mm ipo hivyoo kwenye web imeandikwa completed hata nilizo fail 😄 🤣 😂 😆 sasa ndio nashindwa kuelewe tena completed ilio na green
Mkuu, completed haimaanishi umefanya usaili Au hujafanya.
Completed inamaanisha huo usaili umeshamalizika.

Nimejaribu kulog in Kwenye akaunti yangu ili nikuthibitishie hili ila inalog in muda mrefu bila majibu, ila soon naweka screenshot yangu sijafanya practical na ipo completed
 
Kwa kweli nilichojifunza hapa ni kila mtu na wakati wake na jambo lake na wakati wa Mungu ni sahihi zaid kuliko nyakati za binadam

Tusimame kwenye imani kuomba usiku na mchana AMEN
 
Kwa kweli nilichojifunza hapa ni kila mtu na wakati wake na jambo lake na wakati wa Mungu ni sahihi zaid kuliko nyakati za binadam

Tusimame kwenye imani kuomba usiku na mchana AMEN
H hapa, sijafanya na ipo completed.
So usiumize kichwa khs hyo macompleted

Screenshot_20260606-091237.jpg
 
Mimi nina imani
Mungu yupo kaka believe me. Anafanya mambo yasiyo wezekana kuwezekana ipo siku ntakuja/tutakuja kutoa shuhuda humu huku nikibubujikwa na machozi k
H hapa, sijafanya na ipo completed.
So usiumize kichwa khs hyo macompleted

View attachment 3602076
Nimekusoma kaka mkubwa maana hivi vitu unaweza jikuta uko peke ako kumbe mpo weng tu. Na hili la status ni kwamba wote zinakuwa sawa kikubwa dashboard isome attended number
 
Utofauti wako na mm n kwamba ww unatupa moyo Ila mm naongea ukweli ambao ndo bahati mbaya unauma 😂

Anyway, sio kesi ngoja tuendelee kutiana moyo tuu na tusichoke kupambana 💪
Lkn hata hivyo hapa tusesoma koz tofauti tofauti mwingine kasoma community development yy vacancy zake number ni kuanzia 100+ wengine vacancies zetu zikiwa nying ni 10 tu

Hivyo kwenye placement kunazaliwa ugumu mkubwa wenye nafasi chache huyu

Oral wanaenda watu 600 imagine
 
Bora nyie 10, mm zangu zikiwa nyingi n 3 na hapo mpo kama 60 hv
 
Back
Top Bottom