Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 7,718
- 12,398
Bado haina guarantee ya kupata ajira sisi wengine zipo tu tunapiga nazo picha hadi ajira zingine zinatangazwa tunaomba tena nafasi ileileNimesema kuanzia wiki3
Bado haina guarantee ya kupata ajira sisi wengine zipo tu tunapiga nazo picha hadi ajira zingine zinatangazwa tunaomba tena nafasi ileileNimesema kuanzia wiki3
Halafu wanabisha wakati ndo ipogo hivyo na mimi nimefuatilia sana huu uzi toka enzi za kina MwifwaSelected for oral interview both in App na kwenye web.
Utaitwa tu kuna jamaa kaajiriwa toka 2023 ila juzi kaitwa tena Udsm kama Tutorial assistantBado haina guarantee ya kupata ajira sisi wengine zipo tu tunapiga nazo picha hadi ajira zingine zinatangazwa tunaomba tena nafasi ileile
Tunachokisema ni kuwa sio guarantee ukiwa na selected for oral inayodumu wiki tatu plus utaajiriwa kama ulivyosemaUtaitwa tu kuna jamaa kaajiriwa toka 2023 ila juzi kaitwa tena Udsm kama Tutorial assistant
wa asilimia kubwa wabongo wanaroho mbaya sana..mdomoni anaweza akawa mtamu wa maneno..machoni akaonesha kuguswa lakini moyoni anagubu.Hiyo ndo imenikuta mimi mkuu sitoisahau tena boss ananiambia kabisa hii job ni yako jiandae usaili na mm sasa nikisikia hilo daaah napiga job kama kichaa .alfu sasa kwenye panel ya interviewer boss naye yupo .chakushangaza anakunyima kisa Huna wa kukukingia kifua. Nimefanyiwa hivyo mara 2 na mara 2 sikuitwa kabisa interview. Na wanaopata hizo job hawajui na mimi ndo niwafundishe. Kuna siku niliamka vibaya kidogo nichome kiwanda tukose wote tu
Huu mwaka wako subiri pdfYangu moja ina zaidi ya week 3 iko green na sijaitwa kazini.
Wait Tena, ww c umesema wiki tatu una 80% ya kulamba asali, ujue 80% maana yake huyu n uhakika 100%Wait
Ashukuru MunguHuenda yeye kakaa wiki tatu akapata basi anaona ndio formula inayotumika kwa wote
Halafu wanabisha wakati ndo ipogo hivyo na mimi nimefuatilia sana huu uzi toka enzi za kina Mwifwa
Hv n nyie wnyw tuu Ndo mnaingiaga oral, na kwenye app na web inawaonyesha hvy na ndo kinawafanya muwe na imani hiyo au?Selected for oral interview both in App na kwenye web.
Vuta subira huenda upo data baseJe baada ya izo week 3 ambao hawapati account zinasomaje, maana mim toka 22 na selected for oral na hamna kitu, kikubwa uzuria saili nyingi kadri uwezavyo.
Mbaga Jr kuna siku utaamini hiki ninachokisema hapa kaka maana kuna mtu nipo naye taasisi moja alishafanyaga oral toka 2023 ila cha ajabu aliitwa juzi kati tena na alishapata kaziHv n nyie wnyw tuu Ndo mnaingiaga oral, na kwenye app na web inawaonyesha hvy na ndo kinawafanya muwe na imani hiyo au?
Hayo mambo ya web na app n kujipa imani tuu, Ila hakuna utofauti hapo wala hakuna uhusiano wa ww kupata kazi.
Mm nna oral kwenye app na web miaka miwili sasa na bado sina kazi.
Utapata tu kaka ila amini hizo Selected za kijani zinalipa sanaJe baada ya izo week 3 ambao hawapati account zinasomaje, maana mim toka 22 na selected for oral na hamna kitu, kikubwa uzuria saili nyingi kadri uwezavyo.
Sio mbaya tukiendelea kupeana matumainiUtapata tu kaka ila amini hizo Selected za kijani zinalipa sana
Direction ya swali wameekuuliza objective za HRM. Na maswali mengine fanania.Hv hua mnajuaje mmejibu vzr na uhakika?
Direction ya swali wameekuuliza objective za HRM. Na maswali mengine fanania.Hv hua mnajuaje mmejibu vzr na uhakika?
Huwa iko hivyoHivi nishawai sikia status kwenye app na web zinatakiwa kuwa green kote kote wakuuView attachment 3602058
Inatakiwa kuwa green kwenye app?? AuHuwa iko hivyo
Niliwah kuomba watu wa humu kuonyeshwa status zikisoma tofaut Huko kwenye web na app Ila Wahusika wakala kona 😂Hivi nishawai sikia status kwenye app na web zinatakiwa kuwa green kote kote wakuu?? Mbaga Jr Mtu Mbadi Seran View attachment 3602058
Nipe screenshot yenye selected Kwenye web Afu hiyo hiyo kwenye app n not selectedHuwa iko hivyo