HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Screenshot_20260606-093911_Chrome.jpg

Hii ni completed lkn sijaingia oral nilifail wakuu @x agent
 
Hiii ya hivi itakuwa ni mfumo umekosea yaani pdf litoke not selected umepata 45 then web selected na app not selected 😑 😢 hii fix ya mwaka
Hakuna cha mfumo kukosea, hapajawah kuwa na hiyo kitu hata siku moja.

Ukiwaambia walete screenshot wanakula kona na kuendelea kupiga domo wakati tunataka uthibitisho 😂
 
Hiyo N/A mbele yake bila shaka ni Not Attended sio, maana kama ulihudhuria inakuwa haipo.
Mkuu, jamaa alikuwa anazungumzia hy completed na sio hiyo N/A ndo mana nikamuwekea hy screenshot kumaanisha ufanye usaili Au usifanye bado utaandikiwa completed mana haina uhusiano na ww kufanya au kutokufanya usaili.

Hy N/A ndo hvy haujafika eneo la tukio.
 
View attachment 3602082
Hii ni completed lkn sijaingia oral nilifail wakuu @x age

Mkuu, jamaa alikuwa anazungumzia hy completed na sio hiyo N/A ndo mana nikamuwekea hy screenshot kumaanisha ufanye usaili Au usifanye bado utaandikiwa completed mana haina uhusiano na ww kufanya au kutokufanya usaili.

Hy N/A ndo hvy haujafika eneo la tukio.
Okay hapo nimekupata mkuu.
 
Wakuu kuna mtu ana ushuhuda wa kuitwa kazini au kusikia mtu wake wa karibu ameitwa kazini kupitia Database hata baada ya ule muda wa Database ku expire??
 
Back
Top Bottom