billionea alpha
JF-Expert Member
- Apr 10, 2014
- 1,496
- 1,757
Nimecheka walahi!Arafu.kupata sehemu nzuri ni ufahulu au bahati?Yaani aliyepata 97 anaweza pangiwa Halmashauli na aliyepata.50 akaenda kwenye taasisi au wizara?Kikubwa ni kulamba asali ukipata check no hizo nyingine watajua wenyewe hata wakiweka vifungashio poa tu