Hivi usaili wa Halmashauri, unatakiwa kwenda kufanyia usaili katika Halmashauri husika mfano kama uliomba kazi Halmashauri ya NANYUMBU-MTWARA inabidi usaili ukafanyie huko kuanzia written mpaka oral ama, na sio kuanza kufanya kikanda kama kawaida.!!
Hizo ni pesa za umma, hupaswi kuzifanya pesa zako binafsi.Umepewa bajeti ya kujenga darasa kwa milioni 20. Ukapata mkandarasi wa kujenga kwa milioni 10 au 12.
Nane zilizobaki utazirudisha kwa wenyewe wakazile?
Ni janga hii nchi ni ya ovyo kinoma halaf kutwa kuwalaumu wanasiasa wakt wao wenyew weziMnasifiana kwa wizi wa mali za umma.
Mambo ya ajabu sanaNi janga hii nchi ni ya ovyo kinoma halaf kutwa kuwalaumu wanasiasa wakt wao wenyew wezi
Okay nikajua kwa Halmashauri lazima uwende ukafanyie written katika Halmashauri ilipo.Hapan mkuu written sikuhizi unafanyia hapo ulipo unapoishi sasa,, au unaweza pia kubadili detal zako za makazi ukaenda kufanyia mkoa unaotaka wewe Incase umesafirikwa kw emergency,, ila badirisha kabla hujapangiwa location ya interview. Oral zote za psrs ni dodoma.
Huko kwa wanasiasa ata sio kwamba wanasingiziwa ukweli ni kwamba wanazivuna pesa,, sisi tuendelee kuishi kwa imani na sie tupate huo mkate (check number) tuzikombea familia zetu japo sio kwa wizi..!!Ni janga hii nchi ni ya ovyo kinoma halaf kutwa kuwalaumu wanasiasa wakt wao wenyew wezi
ukiona hivo ujue hawana matangazo ya taasisi nyingine.hata hizo pdf walizotoa kuanzia tar 27 mpaka 29 ni pdf moja wamelipiga shoka mara tatu..wapambanaji kamwene. mnogage naona leo hakuna pdf kabisa vimuli muli vya halmashauri tu
mkuu mim sisubili placement waje walete tangazo niongeze receivedukiona hivo ujue hawana matangazo ya taasisi nyingine.hata hizo pdf walizotoa kuanzia tar 27 mpaka 29 ni pdf moja wamelipiga shoka mara tatu..
Hii inakata kinoma wakuuSalaamu zenu wazee wa NOT SELECTED
naona wameamua kutubembeleza yaani wanatung'ata halafu wanapuliza..Salaamu zenu wazee wa NOT SELECTED 😆😆
Mie zote nimefanyia mkoa niliopo sijakanyaga huko DodomaHapan mkuu written sikuhizi unafanyia hapo ulipo unapoishi sasa,, au unaweza pia kubadili detal zako za makazi ukaenda kufanyia mkoa unaotaka wewe Incase umesafirikwa kw emergency,, ila badirisha kabla hujapangiwa location ya interview. Oral zote za psrs ni dodoma.
Bora hii maumivu ni ya muda flan badae unapotezea, kuliko Selected for Oral halafu jina kila siku hulioniSalaamu zenu wazee wa NOT SELECTED [emoji38][emoji38]
watu wamechoka mkuu wana shortlist 2634naona wameamua kutubembeleza yaani wanatung'ata halafu wanapuliza..
ukishafanya interview ya utumishi tu ujue tayari umeshavishana pete ya ndoa na stress... 🤣 🤣watu wamechoka mkuu wana shortlist 2634
wanaenda kufanya usaili 500 wanachkua selected 5 hapo una 90 ***** mweneyewe sirudii