El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 3,070
- 6,467
yaah sure kuna halmashauri nyingi tu watu wanapiga hela.naonaga watu wanadis halmashauri kuna hela ndogoMimi nakwambia ziko taasisi kavu kuliko halmashauri.
Jamaa yangu yuko halmashauri moja ni afisa manunuzi. Mwaka wa tatu kazini kakutana na ujenzi wa madarasa ya mama hela za Covid. MRADI umeisha na yeye ana nyumba ya 80M na IST juu.
Madogo wengi hawajui haya mambo