Umemaliza form four mwaka ganwakuu aliekutana na hii changamoto katatua vipi hapo haloo msaada
jaribu baadae..wakuu aliekutana na hii changamoto katatua vipi hapo haloo msaada
haiwez mkuu nilipata four ya mwisho mwaka uleejaribu baadae..
mwaka wa nyumaUmemaliza form four mwaka gan
mtihani ni fail haiwez kuendelea na usajili mkuu hata badae ina maana pia haiwezijaribu baadae..
Uli resithaiwez mkuu nilipata four ya mwisho mwaka ulee
sijawaiUli resit
mkuu si ulikua unasubiri kwenda kufanya usaili uliombaje mara ya kwanza sasa.au ndo huu mfumo wa index number umesababisha...haiwez mkuu nilipata four ya mwisho mwaka ulee
chuo ulifikaje sasahaiwez mkuu nilipata four ya mwisho mwaka ulee
kila mtu na njia yake hii TANZANIA BWANA we nipe soln kama ume experience hiyo issue mkuuchuo ulifikaje sasa
huuu mfumo wa ovyo kabisa mabadiliko yasiyo ya muhimu huyo IT anaharibu mambo halooo🤔🤔🤔🤔mkuu si ulikua unasubiri kwenda kufanya usaili uliombaje mara ya kwanza sasa.au ndo huu mfumo wa index number umesababisha...
interview si umeitwa we nenda kafanye halafu uone itakuajehuuu mfumo wa ovyo kabisa mabadiliko yasiyo ya muhimu huyo IT anaharibu mambo halooo🤔🤔🤔🤔
ngoja niwapigie kwanza au siku ya inyerview niwashe bajaj yanguinterview si umeitwa we nenda kafanye halafu uone itakuaje
chuo ulifikajengoja niwapigie kwanza au siku ya inyerview niwashe bajaj yangu
Afisa usajili chuo upo kazini naona 🤣chuo ulifikaje
yaani huyu IT sjui kawaza nini aisee mambo mbona yalikua yanaenda vizuri tu..Afisa usajili chuo upo kazini naona 🤣
wakiingiza kwenye system na majina ya chuo watu wengi wataaga mashindano..Mfumo wa sasa hivi cheti pekee unachotakiwa kupiga muhiri wa mawakili au mahakama ni cha chuo.
Kabisa mkuu sahizi Kuna shida flani unaweza elezea na mtu asikuelewe kwenye vyeti mkuu...yaani huyu IT sjui kawaza nini aisee mambo mbona yalikua yanaenda vizuri tu..