Mmea Jr
JF-Expert Member
- May 20, 2016
- 982
- 2,297
Shukrani sana,,, lakin wezangu huku ku jiandaa mnakokuzungumzia mnafanyaje fanyaje mwenzenu nimeshika tu hilo desa lenye mambo baaadhi ya vitu nilivyosomea naona kichwa kina kuwa kizitoo mpaka usingizi umenichukua hapa nimeamka tena nijaribu kupitia na siku nikicheki naona zimeisha hata sielewi nifanyaje ..Oral ni "final touch" hivyo hakikisha unapambana kana kwamba hiyo ndio oral yako ya mwisho kwenye maisha yako. Pia ikiwa nafasi unayopambania zipo kuanzia 100+ jitahidi upambanie maksi za juu ili hata kama wataita kwa kufuata ufaulu basi nawe utoke kwenye batch za mwanzoni.
Ni hayo tu wapambanaji wenzangu. BILA KUCHOKA!