HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Bado sijapata kazi na tukipata nafasi nasisi tutatoa shuhuda humu....ila kwa wale wanajiandaa na oral ni muhimu kuwa na spare point kwenye nafasi unayoomba (point inayofit sehem nyingi) na maswali mengi )

Interview ya mwisho swali kwann ni muhimu msajili wa vyuo kufollow up selection process nilitaja point 4 panelist alivyosema bado moja nikapoteana hapo point nazo zipo mafichoni huko ..

Nikataja to save cost nikaelezea kufuatilia selection process kwaukaribu itarahisisha msajili kukidhi regulations na expectations needed kwenye uchaguzi wa wanavyuo so itacut unnecessary cost both sides office side na applicants side

Nasubiria majibu kama nilipitaga hapa hahaha

Point spare zipo kulingana na kada husika na kazi husika...tuombeane tupate wote humu
 
Bado sijapata kazi na tukipata nafasi nasisi tutatoa shuhuda humu....ila kwa wale wanajiandaa na oral ni muhimu kuwa na spare point kwenye nafasi unayoomba (point inayofit sehem nyingi) na maswali mengi )

Interview ya mwisho swali kwann ni muhimu msajili wa vyuo kufollow up selection process nilitaja point 4 panelist alivyosema bado moja nikapoteana hapo point nazo zipo mafichoni huko ..

Ni to save cost nikaelezea kufuatilia selection process kwaukaribu itarahisisha msajili kukidhi regulations na expectations needed kwenye uchaguzi wa wanavyuo so itacut unnecessary cost both sides office side na applicants side

Nasubiria majibu kama nilipitaga hapa hahaha

Point spare zipo kulingana na kada husika na kazi husika...tuombeane tupate wote humu
Mungu ni mwema sana mkuu utapata tu
 
Oral ni "final touch" hivyo hakikisha unapambana kana kwamba hiyo ndio oral yako ya mwisho kwenye maisha yako. Pia ikiwa nafasi unayopambania zipo kuanzia 100+ jitahidi upambanie maksi za juu ili hata kama wataita kwa kufuata ufaulu basi nawe utoke kwenye batch za mwanzoni.

Ni hayo tu wapambanaji wenzangu. BILA KUCHOKA!
Mimi sikutoka batch ya mwanzoni, ila nilipopata placement, nilipata dept ya uhakika mnooooo. Kwa hiyo issue ya kuwahi sidhani kama ina tija sana. Unaweza ukawahi ndiko siko.
 
Shida ipo japo si kubwa sana. Kuna mwenzangu mmoja tulipoenda kuripoti alikuwa na shida ya kutofautiana majina. Baada ya kumpa nyaraka za kujaza, alupomaliza wakamwandikia barua aende NECTA kwa ajili ya mahojiano ya ana kwa ana. Alipomaliza akawarudishia barua nyingine iliyotolewa na NECTA. Zoezi likawa limekamilika. Kwa suala lako nadhani utaambiwa uende NIDA wakarekebishe; hilo jambo unaweza kulifanya hata kabla ya kwenda kuripoti kazini.
Mimi nadhani ni bora arekebishe cheti cha kuzaliwa. Nida wazinguaji sana. Hawafanyii mabadiliko ya taarifa kwa wakati.
 
Habari wakuu!!? Naombeni msaada kwa waliowahi kufanya Oral interview utumishi kada ya Risk management officer, Maswali wanayo Pendelea Kuuliza katika Kada hiyo.
 
Habari wakuu!!? Naombeni msaada kwa waliowahi kufanya Oral interview utumishi kada ya Risk management officer, Maswali wanayo Pendelea Kuuliza katika Kada hiyo.
Unapiga oral lini? Ni DODOMA au
 
status zinabadilika kwene profile yangu mpaka nashindwa kuelewa.kuna status sjawai kuchaguliwa oral inaniambia seleced for oral na interview ishapita kitambo.hili litakua ni swala la kiufundi nimeamini na haliusiani na kitu chochote
 
Life can change suddenly, and no one stays in the same place forever. Someone without a job now could become successful later. Treating friends, family, and partners with respect during their tough times shows real kindness and understanding. Supporting them builds stronger connections that last, no matter what happens. True respect looks past the moment and values the person behind it.
 
Back
Top Bottom