Cymon Taylor
JF-Expert Member
- Apr 3, 2019
- 1,762
- 3,446
Kwani umeshaenda ku report? Na umepeleka kila kinachotakiwa? Je kuna chochote wamekwambia?Ndioo issue ni place of birth ndioo inatofautiana
Kwani umeshaenda ku report? Na umepeleka kila kinachotakiwa? Je kuna chochote wamekwambia?Ndioo issue ni place of birth ndioo inatofautiana
asee nimepata placement wilaya ya moshi vijijin, natakiwa kuripoti mwishon mwa mwez huu. tafadhali naomba contact zako unisaidie kwenye kutafuta chumba/nyumba huko. asante.Mabogini
Shida ipo japo si kubwa sana. Kuna mwenzangu mmoja tulipoenda kuripoti alikuwa na shida ya kutofautiana majina. Baada ya kumpa nyaraka za kujaza, alupomaliza wakamwandikia barua aende NECTA kwa ajili ya mahojiano ya ana kwa ana. Alipomaliza akawarudishia barua nyingine iliyotolewa na NECTA. Zoezi likawa limekamilika. Kwa suala lako nadhani utaambiwa uende NIDA wakarekebishe; hilo jambo unaweza kulifanya hata kabla ya kwenda kuripoti kazini.Jamani wakuu naomba kuuliza kwenye suala la vetting ajira mpya mimi taarifa zangu sehemu ya kuzaliwa kwenye NIDA na Cheti cha kuzaliwa zinatofautiana vipi haiwezi kuwa shida??
Hapana ndioo nataka niende kuripoti nimeuliza tu just for precaution incase italeta shida nikienda kuripoti.Kwani umeshaenda ku report? Na umepeleka kila kinachotakiwa? Je kuna chochote wamekwambia?
Ahaa basi kama ni hivyo ngoja niende maana ata kupangiwa nimepangiwa dar es salaamShida ipo japo si kubwa sana. Kuna mwenzangu mmoja tulipoenda kuripoti alikuwa na shida kama yako. Baada ya kumpa nyaraka za kujaza, alupomaliza wakamwandikia barua aende NECTA kwa ajili ya mahojiano ya ana kwa ana. Alipomaliza akawarudishia barua nyingine iliyotolewa na NECTA. Zoezi likawa limekamilika. Ugumu utakuja kama upo mkoa mwingine tofauti na Dar Es Salaam, hasa kwenye nauli.
Kama kuna shida wao wenyewe watakwambia watakapokuwa wanaingiza taarifa zako kwenye mfumo. Kikubwa majina yote kuanzia vyeti vya shule,kuzaliwa na NIDA yawe sawa yasitofautiane hata herufiHapana ndioo nataka niende kuripoti nimeuliza tu just for precaution incase italeta shida nikienda kuripoti.
Mkuu mambo ya NECTA, NIDA na cheti cha kuzaliwa Yana mahusiano?Shida ipo japo si kubwa sana. Kuna mwenzangu mmoja tulipoenda kuripoti alikuwa na shida ya kutofautiana majina. Baada ya kumpa nyaraka za kujaza, alupomaliza wakamwandikia barua aende NECTA kwa ajili ya mahojiano ya ana kwa ana. Alipomaliza akawarudishia barua nyingine iliyotolewa na NECTA. Zoezi likawa limekamilika. Kwa suala lako nadhani utaambiwa uende NIDA wakarekebishe; hilo jambo unaweza kulifanya hata kabla ya kwenda kuripoti kazini.
Unaenda NECTA kwa shida ipi mkuu?Ahaa basi kama ni hivyo ngoja niende maana ata kupangiwa nimepangiwa dar es salaam
SawaMkuu umelielewa swali lake? Sidhani kama anauliza issue ya majina, hapo anauliza issue ya "place of birth"
Kwenye majina yote yako sawa hayatofautiani ni place of birth tu ndioo kunatofautianaKama kuna shida wao wenyewe watakwambia watakapokuwa wanaingiza taarifa zako kwenye mfumo. Kikubwa majina yote kuanzia vyeti vya shule,kuzaliwa na NIDA yawe sawa yasitofautiane hata herufi
Ipo hivyo, kwa sababu unaajiriwa kwa vyeti vya NECTA hasa form 4, na NIDA ndipo taarifa zako zilipo. Zinatakiwa ziendane. Jamaa yangu jina la ukoo lililopo NECTA lilikuwa tofauti na la kwenye NIDA. Ikabidi aende NECTA wakathibitishe kama ndiye au siye. Na hiyo hatua hufanyika mwishoni kabisa mwa mlolongo wa kufanya usajili wako kazini.Mkuu mambo ya NECTA, NIDA na cheti cha kuzaliwa Yana mahusiano?
Lakini huyu mdau wetu hana hilo tatizo, yeye majina yote yapo sawa. Je bado unashauri aende NACTE?Ipo hivyo, kwa sababu unaajiriwa kwa vyeti vya NECTA hasa form 4, na NIDA ndipo taarifa zako zilipo. Zinatakiwa ziendane. Jamaa yangu jina la ukoo lililopo NECTA lilikuwa tofauti na la kwenye NIDA. Ikabidi aende NECTA wakathibitishe kama ndiye au siye. Na hiyo hatua hufanyika mwishoni kabisa mwa mlolongo wa kufanya usajili wako kazini.
Nimesha-edit hapo juu. Kwa suala lake atatakiwa aende NIDA hasa. Tena anaweza kwenda muda wowote hata kabla ya kuripoti kazini. Aombe wamfanyie marekebisho tu.Lakini huyu mdau wetu hana hilo tatizo, yeye majina yote yapo sawa. Je bado unashauri aende NACTE?
Nisikilize, hiyo kazi ni ya kwako tayari haichukuliwi na mtu kwahiyo tulia kitu kidogo kisikutoe kwenye reli, kama place of birth ni tatizo watakwambia wenyewe. Kikubwa majina yote yapo sawaKwenye majina yote yako sawa hayatofautiani ni place of birth tu ndioo kunatofautiana
Nice, na Mimi nimemuuliza hapo wapi sehemu sahihi ulipozaliwaNimesha-edit hapo juu. Kwa suala lake atatakiwa aende NIDA hasa. Tena anaweza kwenda muda wowote hata kabla ya kuripoti kazini. Aombe wamfanyie marekebisho tu.
Sehemu sahihi ni Kwenye cheti cha kuzaliwaNisikilize, hiyo kazi ni ya kwako tayari haichukuliwi na mtu kwahiyo tulia kitu kidogo kisikutoe kwenye reli, kama place of birth ni tatizo watakwambia wenyewe. Kikubwa majina yote yapo sawa
Kingine kati ya NIDA na cheti wapi sehemu sahihi ulipozaliwa?
Hapo sasa unaweza kwenda NIDA ukawaomba waedit taarifa zako kwenye sehemu ya kuzaliwa ifanane na ya kwenye cheti. Basi unakuwa umemaliza jambo lako unaenda ku report kaziniSehemu sahihi ni Kwenye cheti cha kuzaliwa
Kwa vyovyote vile nenda NIDA ,ni rahisi sana kuliko kwenye mambo ya vyeti vya kuzaliwa ...Hapo nenda NIDA ,kuna gharama kidogo na umalize kazi.Sehemu sahihi ni Kwenye cheti cha kuzaliwa
Poa poaa mkuuHapo sasa unaweza kwenda NIDA ukawaomba waedit taarifa zako kwenye sehemu ya kuzaliwa ifanane na ya kwenye cheti. Basi unakuwa umemaliza jambo lako unaenda ku report kazini
Ngoja nifanye hivyo👊🏿👊🏿Kwa vyovyote vile nenda NIDA ,ni rahisi sana kuliko kwenye mambi ya vyeti vya kuzaliwa ...hapo nenda NIDA ,kuna gharama kidogo na umalize kazi.