HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
polee mkuu, walishaa itwa muda mrefu na juzi wamemaliza usaili 834kj makutupora, kesho yake wakachukuliwa walio chaguliwa ...
mafunzo rasmi yanafunguliwa wiki ijayo.
Duuuh hawa waliokua makutu ni wale wataalamu wa afya sisi form4&6 wa mtaani ni kama hatujaitwa
 
Wakuu nilipata placement udsm kwenye pdf ya tarehe 1 mwezi wa saba,kama kawaida huwa wanatoa siku 14 za kuripoti,hatimaye nikaenda kuripoti tarehe 8 ya mwezi wa saba,kisha baada ya hapo nikaambiwa nitapigiwa simu ndani ya wiki tatu lakini mpaka hivi leo naona kimya,je inakuwaje wakuu maana naona sielewi elewi kabisa.
 
Usijali mkuu watakupigia tu maana hiyo tayari ni kazi yako hivyo lazima simu iite. Endelea kuwa mvumilivu, pia hongera kwa kupata kazi
 
Wakuu nilipata placement udsm kwenye pdf ya tarehe 1 mwezi wa saba,kama kawaida huwa wanatoa siku 14 za kuripoti,hatimaye nikaenda kuripoti tarehe 8 ya mwezi wa saba,kisha baada ya hapo nikaambiwa nitapigiwa simu ndani ya wiki tatu lakini mpaka hivi leo naona kimya,je inakuwaje wakuu maana naona sielewi elewi kabisa.
Utaitwa
 
Duuuh hawa waliokua makutu ni wale wataalamu wa afya sisi form4&6 wa mtaani ni kama hatujaitwa
polee mkuu, waliitwa wote kuanzia 4m 4 mpaka wenye elimu za juu.. pia makundi mbali mbali kama wasanii,wana michezo madereva n.k
kazi za jeshi zinahitaji uwe na mtu wa kukushika mkono tena mkubwa.
usiache kujaribu tena na kumtumainia muumba wako.
 
Habari wakuu,

Naomba msaada kwa yeyote mwenye uzoefu au uelewa wa usaili wa nafasi ya Planning Officer kupitia PSRS.
ningependa kujua format ya maswali huwa ikoje, na kama kuna anayewahi kufanyiwa usaili huu anisaidie kwa yeyote anachokumbuka.

Je, maswali huwa ya kitaaluma zaidi, au yanahusisha pia maswali ya jumla (IQ, Current affairs, n.k)?
Tafadhali wakuu, msaada wowote utathaminiwa sana 🙏🏽

Ahsanteni sana.
 
Back
Top Bottom