HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wakuu najaribu kufungua account ya Ajira portal ila Kila nikiweka NIDA inazunguka tu then inarud plain, tatizo lnaweza kuwa nini
 
polee mkuu, waliitwa wote kuanzia 4m 4 mpaka wenye elimu za juu.. pia makundi mbali mbali kama wasanii,wana michezo madereva n.k
kazi za jeshi zinahitaji uwe na mtu wa kukushika mkono tena mkubwa.
usiache kujaribu tena na kumtumainia muumba wako.
Dah shukran sana mkubwa🙏 ngoja tu hustle kwa ajili ya kesho✊
 
Wakuu nilipata placement udsm kwenye pdf ya tarehe 1 mwezi wa saba,kama kawaida huwa wanatoa siku 14 za kuripoti,hatimaye nikaenda kuripoti tarehe 8 ya mwezi wa saba,kisha baada ya hapo nikaambiwa nitapigiwa simu ndani ya wiki tatu lakini mpaka hivi leo naona kimya,je inakuwaje wakuu maana naona sielewi elewi kabisa.
Kama wamekwambia watakupigia simu, kuwa na subira simu lazima itaita ila hakikisha upo nayo mkononi muda mwinvi
 
Asante aisee.
Tujipange tena
Wakati unajipanga upya lolote linaweza kutokea kwenye database, japo huo usaili ulioufanya usiwe wa chuo kama wa chuo apo umeliwa kichwa mazima kama taasisi wakati unajipanga upya endelea kufatilia placement
 
Kama wamekwambia watakupigia simu, kuwa na subira simu lazima itaita ila hakikisha upo nayo mkononi muda mwinvi
Mie nataka kujua hapo...

Hivi mfano unaambiwa utapigwa simu....Na bahati Mbaya muda wanakucheki uko sehem ambayo haina network au hujapokea kutokana na majukumu mbalimbali.

Je kuna utaratibu wa kuacha meseji au watakurudia tena?
 
watakutafu mara mpaka wakupate..
 
Kwan wa chuo hauna database?

Back
Top Bottom