HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ah ah Mkuu
Yani watu walikuwa wanalalama kila siku kwamba received inaelekea miezi tisa kama mimba vile tena wengine wakasema kwamba tayari wamepachika watu wao, Leo hii majina ya interview yametoka watu vichwa vinawaka moto :EDMusic:
Ile comment yako nilii screenshot mkuu
 
Dogo langu hapa linaniambia "Accounts assistant II" wa diploma hawajaita. Je ni kweli?
Nadhani ziikimalizika izi walizo ita zinaweza fuata zao ivyo Mpaka mwezi wa Tano tarehe 20 majina yanaweza kutoka ivyo maandalizi yaanze mapema ili kichwa kisiwake moto
Pia mkumbushe kuweka address ya sehemu alipo kwa sasa kama aliondoka kwenda sehemu nyingine baada ya kutuma maombi
 
Ok mkuu shukurani
 
Dogo langu hapa linaniambia "Accounts assistant II" wa diploma hawajaita. Je ni kweli?
Hii walishaita tayari, baadae wakaitwa Accountant II, Kisha wakamalizia na Accounts Officer II ambao Oral imefanyika juzi jumamosi tarehe 5/4/2025 Dodoma Sekondari.
 
Back
Top Bottom