HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wakuu habari zenu,,hatimae na mimi nimelamba asali mkeka wa jana jioni,,msikate tamaa Subra ni ngumu ila usikate tamaa Muombe Mungu atajibu kwa wakati sahihi na fanyeni zile ibada za usiku zinalipa jamani huo ushuhuda wangu,,Mungu ni mwema jaman
Hongera sana mkuu
 
Hongera sana mkuu, nikiona hivi na sisi majobless wenye Selected for Oral tunazidi kupata matumaini kuwa ipo siku, ipo siku.

Sent from my SM-G9280 using JamiiForums mobile app
 
Zidisha ibada Mungu awezi kukuacha
Hongera sana mkuu, nikiona hivi na sisi majobless wenye Selected for Oral tunazidi kupata matumaini kuwa ipo siku, ipo siku.

Sent from my SM-G9280 using JamiiForums mobile app
Ipo siku utapata tu,,zidisha ibada ni kipindi kigumu ukiona mikeka jina lako hulioni usikate tamaa omba
 
Back
Top Bottom