Cymon Taylor
JF-Expert Member
- Apr 3, 2019
- 1,762
- 3,446
Mkuu haitokusaidia chochote zaidi zaidi utamchoresha mwana. Ibaki serikali kuu tu
Wizara au
Mkuu haitokusaidia chochote zaidi zaidi utamchoresha mwana. Ibaki serikali kuu tu
Wizara au
Tunapeana taarifa kwa lengo la kupeana moyo na kujiandaa kisaikolojia... kuuliza sio ujinga ila Kama haifai kujibiwa nashukuruMkuu haitokusaidia chochote zaidi zaidi utamchoresha mwana. Ibaki serikali kuu tu
Why are you so curious ?
Wizara au
Nina kipengele Kiko pending Cha wizaraWhy are you so curious ?
Wewe umeshaitwa mkulungwa ?wewe bado hujaitwa mkuu? ni taasisi au?
Watu wa wizara tutaanza kuwaita week hii. Upo wizara ya Upinzani au Chama tawala ?Nina kipengele Kiko pending Cha wizara
AaminWiki hii ikawe wiki ya baraka[emoji120] watu wakalambe asali ya kutosha [emoji123]
Mungu akasikie maombi yetu.
Amen[emoji120]
nilivoona notification yako nikajua ushuhud mkuu@El malabiosh umepooaaa kama umepigwa bomu la uso na utumishi hahahahah na hiv ndo hatuna hata received hata moja hahahha
Rahsully ulipotelea wapi mi nikajua uliiitwa kimyakimya.. 🤣 🤣@El malabiosh umepooaaa kama umepigwa bomu la uso na utumishi hahahahah na hiv ndo hatuna hata received hata moja hahahha
utumishi usipokua makini unakufa kwa BP.. 🤣 🤣@El malabiosh umepooaaa kama umepigwa bomu la uso na utumishi hahahahah na hiv ndo hatuna hata received hata moja hahahha
Kipengele kinachohusu niniNina kipengele Kiko pending Cha wizara
mkuu sikuhizi bhana sjui ni expectations au nini...naangalia pdf kwa uoga mkubwa hahahah pressure ipo juu.utumishi usipokua makini unakufa kwa BP.. 🤣 🤣
hahah mie nafungua tu fasta nikiona hamna electrical nafunga naingia youtube..mkuu sikuhizi bhana sjui ni expectations au nini...naangalia pdf kwa uoga mkubwa hahahah pressure ipo juu.
Hahahahaha nipoo yan kinyonge kweliRahsully ulipotelea wapi mi nikajua uliiitwa kimyakimya.. 🤣 🤣
Haha haha soon mkuu nakuja na ushuhudanilivoona notification yako nikajua ushuhud mkuu