HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wakuu hivi kwa wale walimu waliofanikiwa kufika oral interview

Kwa upande wa teaching aid ,, si unaweza kuianda nyumbani tu ukaitumia wakati wa presentation ??

Au hairuhusiwi kufanya hivi ??
Kwani umeambiwa watahitaji teaching aid ?
 
haya sasa utumishi mnaona mambo yenu.leo dada wa kazi kaambiwa apumzike nideki mimi...
Wabongo mnapenda sana ku complicate maisha.
1. Kufua nguo
2. Kuosha vyombo
3. Kusafisha nyumba/vyumba
4. Kumwagilia bustani
5. Kupalilia maua nyumbani
Si shughuli zinazokupunguzia utu wako, tuachane na stigma zilizopitwa na wakati.
 
Naomba kuuliza.
Kuna ndugu yangu ameitwa kwenye oral interview Kada ya Ualimi(economics), Kwa ambae ana idea ya maswali au maeneo ambayo huwa wanauliza maswali yao naomba anijuze tafadhali.
 
Leta ujuaji, uliwe kichwa
Mkuu kama una -experience fulani juu ya swali nililo uliza ni bora uka - share na ndiyo dhumini kuu la hili jukwaa ..

Tupo hapa kuelimishana na kujengana ili mwisho wote tuweze kufanikiwa katika mambo ya interview

Hivi lets say ungejibu tu " hairuhusiwi " ungepungukiwa na nini ?? Au vile ulivyojibu kule juu umeongezekewa na nini ?? ..
 
msaada kwa yeyote anaejua kuhusu vijana walio TRA DATABASE kama kuna uwezekano wa kuitwa au lah.
 
Mkuu kama una -experience fulani juu ya swali nililo uliza ni bora uka - share na ndiyo dhumini kuu la hili jukwaa ..

Tupo hapa kuelimishana na kujengana ili mwisho wote tuweze kufanikiwa katika mambo ya interview

Hivi lets say ungejibu tu " hairuhusiwi " ungepungukiwa na nini ?? Au vile ulivyojibu kule juu umeongezekewa na nini ?? ..
OK
Hakuna uhitaji wa teaching aid. Vitu muhimu ni pen, penseli, rubber na ruler. We good ?
 
Back
Top Bottom