Jerry001
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 1,679
- 3,989
Hongera sana mkuu. Nakutakia utumishi mwema. Karibu kundiniHabari za jioni wote, Leo ni siku ambayo nilikuwa naisubiri ifike, hatimae leo ni siku ambayo mungu alikuwa amepanga kwa ajiri yangu, Namshukuru mungu leo imekuwa siku nzuri sana kwangu kulamba asali nono, nachoamini hamna kukata tamaa ni uvumilivu na kumuomba mungu kila mtu ana wakati wake sahihi ambao kapangiwa na mungu, Ambao bado hamjapata endeleeni kuvuta subra mungu ndo kila kitu ni maombi tu