HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Tangazo la kazi lilitaka cheti cha internship??? Mana hii ndo nasikia leo.
Kwa wanasheria ni lazima uweke cheti Cha internship ulichofanya ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikal kwa wale wa zaman au kama ni wa sasa unaweka Cha law school...kwa madaktar Wana compulsory internship pia nadhan so labda na kada nyingine Kuna requirement za ivyo
 
Upo sahihi kwa mainjinia kuna cheti cha ERB lazima ukiweke.
 
endelea kutokata tamaa mungu anakuandalia mema
WATU TUSHAKATA TAMAA MKUU hususani hizi Green Green zinazosoma Selected for Oral halafu kwenye PDF jina hulioni nawashauri wangekua wanafuta ile Selected for Oral wanaandika tu NOT SELECTED mtu ujue what's next
 
Je kwenye kada yako kuna ambao wanaitwa unawaona kwenye mikeka?
 
Habari za jioni wote, Leo ni siku ambayo nilikuwa naisubiri ifike, hatimae leo ni siku ambayo mungu alikuwa amepanga kwa ajiri yangu, Namshukuru mungu leo imekuwa siku nzuri sana kwangu kulamba asali nono, nachoamini hamna kukata tamaa ni uvumilivu na kumuomba mungu kila mtu ana wakati wake sahihi ambao kapangiwa na mungu, Ambao bado hamjapata endeleeni kuvuta subra mungu ndo kila kitu ni maombi tu
 
Hongera...
 
Back
Top Bottom