HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Habari za jioni wote, Leo ni siku ambayo nilikuwa naisubiri ifike, hatimae leo ni siku ambayo mungu alikuwa amepanga kwa ajiri yangu, Namshukuru mungu leo imekuwa siku nzuri sana kwangu kulamba asali nono, nachoamini hamna kukata tamaa ni uvumilivu na kumuomba mungu kila mtu ana wakati wake sahihi ambao kapangiwa na mungu, Ambao bado hamjapata endeleeni kuvuta subra mungu ndo kila kitu ni maombi tu
Hongera sana,Karibu kwenye utumishi
 
Mwezi May n' June, Selected for Oral majina yanatoka kwenye PDF Jina halipo ningependekeza ile Selected for Oral wangeifuta waandike tu NOT SELECTED ili mtu ujue what's next kuliko kuiacha km ilivyo inaumiza
Kama ni May mwishoni kuingia June basi usijali jina lako litatoka tu trust me!, mwaka huu wote mliongia oral mtaitwa kazini.
 
Habari za jioni wote, Leo ni siku ambayo nilikuwa naisubiri ifike, hatimae leo ni siku ambayo mungu alikuwa amepanga kwa ajiri yangu, Namshukuru mungu leo imekuwa siku nzuri sana kwangu kulamba asali nono, nachoamini hamna kukata tamaa ni uvumilivu na kumuomba mungu kila mtu ana wakati wake sahihi ambao kapangiwa na mungu, Ambao bado hamjapata endeleeni kuvuta subra mungu ndo kila kitu ni maombi tu
Hongrera sana mkuu. Oral Interview ulifanya lini?
 
Kama ni May mwishoni kuingia June basi usijali jina lako litatoka tu trust me!, mwaka huu wote mliongia oral mtaitwa kazini.
Lakini kuna kitu nikwambie mkuu kwenye kada yangu mimi PDF imeshatoka na majina yamekwishatoka na jina langu kwenye PDF halipo, sasa unaposema wote tulioingia oral tutaitwa hapo sijaelewa una maana gani? Maana tayari idadi ya watu waliotakiwa imeshatoka
 
Kwasasa haupo sawa ndo maana huwezi kunielewa ninavyokwambia. We tulia mkuu usijali jina lako litatoka tu.
 
Kwa wanasheria ni lazima uweke cheti Cha internship ulichofanya ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikal kwa wale wa zaman au kama ni wa sasa unaweka Cha law school...kwa madaktar Wana compulsory internship pia nadhan so labda na kada nyingine Kuna requirement za ivyo
Ahaa hapa nimekuelewa Mkuu.. asanteh kwa elimu
 
Habari za jioni wote, Leo ni siku ambayo nilikuwa naisubiri ifike, hatimae leo ni siku ambayo mungu alikuwa amepanga kwa ajiri yangu, Namshukuru mungu leo imekuwa siku nzuri sana kwangu kulamba asali nono, nachoamini hamna kukata tamaa ni uvumilivu na kumuomba mungu kila mtu ana wakati wake sahihi ambao kapangiwa na mungu, Ambao bado hamjapata endeleeni kuvuta subra mungu ndo kila kitu ni maombi tu
Hongera Sana mkuu katumikie vema umma 👏
 
Mimi bado kichwa kinaniuma sana mkuu yaan sielewi elewi kila nikiingia naona Selected for Oral na kule PDF jina halipo najihisi nipo over-stressed
Punguza stress mkuu. Kama ulifanya oral na ukajibu maswali kwa uwezo wako wote amini utapangiwa kazi nzuri tu. Mungu atimize hitaji la moyo wako. Trust the process
 
Back
Top Bottom