Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,774
- 126,716
Wapambanaji bila shaka mpo salama na wenye siha njema.
Pongezi za dhati kwa wote wanaendelea kuingia kundini, karibuni sana.
Wale ambao bado, mapambano yaendelee.
Moto ni ule ule, ongeza received, hudhuria interview, pambana hadi oral, then mwachie Muumba afanye yake.