Champion number one
JF-Expert Member
- Dec 17, 2022
- 1,560
- 4,013
Yes inakua SELECTED FOR oralHio inakua hivyo baada ya Oral au baada ya placement kutoka? Kama umefaulu yaan inaendelea kusoma SELECTED for Oral au inasoma SELECTED for Placement au inaandikwa tu SELECTED basi?
Kuna case nyingine baada ya mfumo kuwa updates wa kuwekwa barua za kazi unaweza ukaingia kwenye app ukakutana na hamna kitu yaani plainHio inakua hivyo baada ya Oral au baada ya placement kutoka? Kama umefaulu yaan inaendelea kusoma SELECTED for Oral au inasoma SELECTED for Placement au inaandikwa tu SELECTED basi?
Andaa suti haraka na nauli ya kwenda kureport kituo cha kazi....
Barua ipo njiani chagua gari kwenye nyuzi za mad max....
Tawile...